Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

Hiv unajua mkuu kinachosababisha dini zinaishi mpaka leo ni maswali kuhusu ukifa nni kinaendelea?. Na hapo ndo mwanadam kanasa
Swali simple sana. Dini gani unasemea?

👉 Sio kwamba sijawai kufuata dini hizi ambazo tumeletewa hapana. Ukweli nikwamba andiko linasema someni..... andiko alisemi someni dini.

Tafuta elimu hata kama nchi ya mbali china ila usifate mambo ya china. Kwahiyo kukosoma nitasoma mambo tofaut ila kuniongopea no. Ndo maana tulipewa akili ili tuzipate elimu. au kuna sehemu wanatoa akili. Mwenyezi Mungu hashindwi chochote.
 
Hata wao wanakushangaa katika hicho unachoamini wanaona upuuzi kama upuuzi mwingine,dini ni upuuzi na wanaozifuata ni wapuuzi hasa.
Dini zimetoa mchango mkubwa sana kuleta amani na umoja ndani ya jamii nyingi sana duniani. Kwa vyovyote vile zilivyo ntabaki kuziheshimu kwa hilo
 
Uongo, sikubaliani na wewe hata . Amani ipi unazungumzia kijana
 
Swali simple sana. Dini gani unasemea?

👉 Sio kwamba sijawai kufuata dini hizi ambazo tumeletewa hapana. Ukweli nikwamba andiko linasema someni..... andiko alisemi someni dini.

Tafuta elimu hata kama nchi ya mbali china ila usifate mambo ya china. Kwahiyo kukosoma nitasoma mambo tofaut ila kuniongopea no. Ndo maana tulipewa akili ili tuzipate elimu. au kuna sehemu wanatoa akili. Mwenyezi Mungu hashindwi chochote.
Dini sio empirical science. Ni idea tu.. Kisayansi dini ni kitu kisichokuwa na mantiki. Mana sayansi na mungu ni vitu vi2 vinavyokinzana. Sikatai unachokiwaza mana ni sehem ya sayansi jamii
 
Tafuta hela na heshimu kila mtu muogope Mungu aliyekuumba
 
Uongo, sikubaliani na wewe hata . Amani ipi unazungumzia kijana
Soma historia uone watu waliishi vipi zamani. Kuna jamii ziliishi kwa kuamini katika kutoa binadam wenzao kafara Amerika ya kusini. Na hata Afrika tu kuna jamii zilikua na mila za ajabu sana za kuumiza binadam wenzao kabla ya dini

Attachments

  • Screenshot_20230402-194032_Brave.jpg
    Screenshot_20230402-194032_Brave.jpg
    100.3 KB · Views: 2
Soma historia uone watu waliishi vipi zamani. Kuna jamii ziliishi kwa kuamini katika kutoa binadam wenzao kafara Amerika ya kusini. Na hata Afrika tu kuna jamii zilikua na mila za ajabu sana za kuumiza binadam wenzao kabla ya dini
Acha utoto basi hizo historia aliandika nani? Na Amerika kusini ni Afrika au ? Jaribu kukuwa basi umepata elimu au ?
 
kwa uumbaji wake Mungu nimwongozo tosha. Mnafuata dini zenye kanuni kama mahesabu 🤔👉 jitambue acha utumwa
Halafu nimekuuliza kuhusu muongozo wa kumjua huyo Mungu wako ni upi?

Hapa naona unazunguka mbuyu
 
Back
Top Bottom