Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
- Thread starter
- #101
Kalale kijana naona ujakua kifkra umekuwa mwili tuKUHUSU dini?. Mm ni mtaalam wa tamaduni za watu. Naamini nilichoandika hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalale kijana naona ujakua kifkra umekuwa mwili tuKUHUSU dini?. Mm ni mtaalam wa tamaduni za watu. Naamini nilichoandika hapa
Hiv unajua mkuu kinachosababisha dini zinaishi mpaka leo ni maswali kuhusu ukifa nni kinaendelea?. Na hapo ndo mwanadam kanasaKalale kijana naona ujakua kifkra umekuwa mwili tu
Swali simple sana. Dini gani unasemea?Hiv unajua mkuu kinachosababisha dini zinaishi mpaka leo ni maswali kuhusu ukifa nni kinaendelea?. Na hapo ndo mwanadam kanasa
Dini zimetoa mchango mkubwa sana kuleta amani na umoja ndani ya jamii nyingi sana duniani. Kwa vyovyote vile zilivyo ntabaki kuziheshimu kwa hiloHata wao wanakushangaa katika hicho unachoamini wanaona upuuzi kama upuuzi mwingine,dini ni upuuzi na wanaozifuata ni wapuuzi hasa.
Uongo, sikubaliani na wewe hata . Amani ipi unazungumzia kijanaDini zimetoa mchango mkubwa sana kuleta amani na umoja ndani ya jamii nyingi sana duniani. Kwa vyovyote vile zilivyo ntabaki kuziheshimu kwa hilo
Dini sio empirical science. Ni idea tu.. Kisayansi dini ni kitu kisichokuwa na mantiki. Mana sayansi na mungu ni vitu vi2 vinavyokinzana. Sikatai unachokiwaza mana ni sehem ya sayansi jamiiSwali simple sana. Dini gani unasemea?
👉 Sio kwamba sijawai kufuata dini hizi ambazo tumeletewa hapana. Ukweli nikwamba andiko linasema someni..... andiko alisemi someni dini.
Tafuta elimu hata kama nchi ya mbali china ila usifate mambo ya china. Kwahiyo kukosoma nitasoma mambo tofaut ila kuniongopea no. Ndo maana tulipewa akili ili tuzipate elimu. au kuna sehemu wanatoa akili. Mwenyezi Mungu hashindwi chochote.
Uliambiwa na Padri wako?Ulikuja kwa njia ya mashua na mlengo ni biashara ya karafuu na meno ya TEMBO n.k
Padri tena. Ndo nani huyo padriUliambiwa na Padri wako?
Tafuta hela na heshimu kila mtu muogope Mungu aliyekuumbaDini sio empirical science. Ni idea tu.. Kisayansi dini ni kitu kisichokuwa na mantiki. Mana sayansi na mungu ni vitu vi2 vinavyokinzana. Sikatai unachokiwaza mana ni sehem ya sayansi jamii
Unajifanya humjui na huku umelivaa kongwa la msalaba kifuani?Padri tena. Ndo nani huyo padri
🤔 au veep utafika tuUnajifanya humjui na huku umelivaa kongwa la msalaba kifuani?
Usiwafanye watu wapumbavu🤔 au veep utafika tu
Soma historia uone watu waliishi vipi zamani. Kuna jamii ziliishi kwa kuamini katika kutoa binadam wenzao kafara Amerika ya kusini. Na hata Afrika tu kuna jamii zilikua na mila za ajabu sana za kuumiza binadam wenzao kabla ya diniUongo, sikubaliani na wewe hata . Amani ipi unazungumzia kijana
Uongo, sikubaliani na wewe hata . Amani ipi unazungumzia kijana
Acha utoto basi hizo historia aliandika nani? Na Amerika kusini ni Afrika au ? Jaribu kukuwa basi umepata elimu au ?Soma historia uone watu waliishi vipi zamani. Kuna jamii ziliishi kwa kuamini katika kutoa binadam wenzao kafara Amerika ya kusini. Na hata Afrika tu kuna jamii zilikua na mila za ajabu sana za kuumiza binadam wenzao kabla ya dini
Muongozo wako ni upi wa kuyafuata hayo maamlisho ya Mungu wako.Me ni binadamu ninaefuata maamlisho ya mungu masuala ya udini weka p3mbeni
Lichuma gani liko wapi? Mbona unakaza fuvu kijanaHilo chuma uliloliweka kifuani litakusaidia nini ? Labda kujifanya huna dini humu JF
kwa uumbaji wake Mungu nimwongozo tosha. Mnafuata dini zenye kanuni kama mahesabu 🤔👉 jitambue acha utumwaMuongozo wako ni upi wa kuyafuata hayo maamlisho ya Mungu wako.
Umejuaje kama huyo Mungu wako ndio muumbaji?kwa uumbaji wake Mungu nimwongozo tosha. Mnafuata dini zenye kanuni kama mahesabu 🤔👉 jitambue acha utumwa
Halafu nimekuuliza kuhusu muongozo wa kumjua huyo Mungu wako ni upi?kwa uumbaji wake Mungu nimwongozo tosha. Mnafuata dini zenye kanuni kama mahesabu 🤔👉 jitambue acha utumwa
Umejuaje kama huyo Mungu wako ndio muumbaji?
Kwani kuna Mungu wa ngapi? Acha maswali ya kitoto basi au Mungu napatikana ukiwa na hizo Dini