Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
KivipiUnaleta ukakasi
Unaleta ukakasi
Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara.
hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo.
MAANDIKO NA DINI NI VITU VIWILI TOFAUTI
aliyeanzisha ukristo na uislam Ni mmojaKivipi
Umeelewa hata ulichokiandika mwenyewe??Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo.
Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
Me ni binadamu ninaefuata maamlisho ya mungu masuala ya udini weka p3mbeniWewe ni muislamu kweli?
Huwezi kunielewa kwasababu achangamshi akili hivi nikupe mfano mdogo ondoa dini unabaki na nini katika maisha yako.Umeelewa hata ulichokiandika mwenyewe??
Mi kwa hiki kichwa changu cha kufugia nywele sijakuelewa π€£
1. Thibitisha hoja yakoMwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo.
Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
Upo finyu sana kijana.Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo.
Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
Kabla ya uisalam watu waliabudu .hata kabla ya yesu au ISSA bin mariamu watu walikuwa wakiabudu.1. Thibitisha hoja yako
2. Huyo mwanzilishi ni nani?
3. Ibada ni nini?
Au veep. Nikuulize swali dogo sana.....Upo finyu sana kijana.
Soma.
Sa kama hujui watu wajinga Duniani ndo hao waliosoma πππ .Upo finyu sana kijana.
Soma.
Mimi sina cha "kudhani" kama wewe.Au veep. Nikuulizwe swali dogo sana.....
Unadhani Dini nini?
na dini imekuja duniani mwaka gani? Je Adamu, Issa, Mussa nipe Dini zao. Afu nambie walikuwa hawana njia au ? we ndo uongeze elimu.Mimi sina cha "kudhani" kama wewe.
Dini ni njia.
Kabla ya Uislam ni lini?Kabla ya uisalam watu waliabudu .hata kabla ya yesu au ISSA bin mariamu watu walikuwa wakiabudu.
π Qur'an inasema waliowatangulia walifunga so fungeni. Kwahiyo unaona hata hii funga sio kwasababu ya dini ilikuwepo.
Bible. Yesu akuwa na dini na yesu aliwasihi watu kumcha mungu akusema wafuate dini.
π€ Mwanzilishi wa dini ni Binadamu.... kama binadamu aliyegundua pesa.
Masuala ya imani sio hoja.. sema bila kuchangamsha akili + maarifa utabaki kuwa mtumwa.
Waliotangulia ni watu ambao walikuwepo kabla ya Mtume Muhammad (Sala na amani ziwe juu yake) na Mtume Muhammad amekuja katika njia ya uislamu ambao mlolongo wake ni tokea mitume waliokuwepo kabla yake mpaka kufikia yeye ambaye ni Mtume wa mwisho katika orodha yao. Sasa umetumia kigezo kipi katika ufahamu mpaka ukaelewa kuwa hao waliofunga kabla ya Mtume Muhammad hawakuwa ni waislamu?Kabla ya uisalam watu waliabudu .hata kabla ya yesu au ISSA bin mariamu watu walikuwa wakiabudu.
π Qur'an inasema waliowatangulia walifunga so fungeni. Kwahiyo unaona hata hii funga sio kwasababu ya dini ilikuwepo.
Bible. Yesu akuwa na dini na yesu aliwasihi watu kumcha mungu akusema wafuate dini.
π€ Mwanzilishi wa dini ni Binadamu.... kama binadamu aliyegundua pesa.
Masuala ya imani sio hoja.. sema bila kuchangamsha akili + maarifa utabaki kuwa mtumwa.
Najua vizuri we ndo unakurupuka. Isalam dinuh fatah nauh dhaifuh. Nadhani umenipata. Uisalamu ni usafi ila sio njiaππKabla ya Uislam ni lini?
Unajuwa maana ya neno "Uislam " au unakurupuka tu?
Sijakupata wala sijakuelewa, naona unabwabwaja kisichoeleweka.Najua vizuri we ndo unakurupuka. Isalam dinuh fatah nauh dhaifuh. Nadhani umenipata. Uisalamu ni usafi ila sio njiaππ