Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Unamzungumzia nani au Kiranga ?
Watu wengine wanaota njozi halafu wanaziandika hapa.

Nikitaka kusoma Science Fiction nitamalizia vitabu vyangu vya Foundation Anthology na hadithi za Dr. Isaac Asimov.

Instead of reading about Jupiter from kids who do not even know who Dr. Asimov is.
 
Fiction movie ha ha
 
siyo kila kitabu ulichosoma watu wamekisoma ulitakiwa unihamasishe kuwa soma kitabu cha DR. ASIMOV utajua hiki na hiki lakn siyo kwakuniponda kuwa sijui lolote
 
siyo kila kitabu ulichosoma watu wamekisoma ulitakiwa unihamasishe kuwa soma kitabu cha DR. ASIMOV utajua hiki na hiki lakn siyo kwakuniponda kuwa sijui lolote
Kukuhamasisha kwangu ni kwa makonzi kama hivyo.

Ona sasa ushamjua Dr. Asimov.

Google ujue Zaidi habari zake. Tafuta vitabu vyake usome hizo hadithi.Kesho ukitaka kuandika uandike vizuri zaidi.
 
Uongo uliopitiliza.
Mars ambayo ndiyo sayari iliyo karibu na dunia kupita zote wanasayansi hawajaweza kutia mguu iweje walete utabiri wa sayari iliyo mbali ya karibia zote.
To hell with this report.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…