Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

Hii movie nimeisahau jina, ni movie flan ya maisha nje ya dunia, mtoa uzi kama wakumbuka jina la hii movie wape waione
 
Wana chukua muda gani toka kutotolewa had kuyeyuka na kupaa?wana ushahidi gani kama hao watu hupaa mbingu?kwa maana hiyo wamefanya tafiti mpaka mbinguni sio!
 
Wana chukua muda gani toka kutotolewa had kuyeyuka na kupaa?wana ushahidi gani kama hao watu hupaa mbingu?kwa maana hiyo wamefanya tafiti mpaka mbinguni sio!
MKUU SOMA MAELEZO HAPO JUU
 
Jupiter ni gas planet, binadamu wanawezaje kuishi huko?? Sanaa hizi
 
Nani aliwaona wakipaa na kuelekea mbinguni na alijuaje wamefika?
 
Back
Top Bottom