Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Huu ni mtazamo wangu:

Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais.

Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio lolote linaloashiria uhai wa benki husika, msitatajie wahusika watatoka hadharani na kuwaambia benki yenu inakwenda kuanguka au vinginenyo.

Hivyo, huenda kwa sasa tatizo lililopo linatishia future ya hii benki, ila bado wanapambana kurekebisha tatizo. Ikishindikana, watotoka rasmi kuwaambia benki yetu ina changamoto moja mbili tatu ila watawaambia fedha zenu ziko salama kabla ya tangazo rasmi la kuhitinisha..

Binafsi naona hii benki ndio taratibu inaelekea kuzorota na pengine kuanguka kabisa siku za usoni.

Hata mbuyu ulianza kama mchi.

Tusubiri.
 
Ukweli mchungu, pesa za watu zimeshapotea, na wanakosa jinsi ya kulitatua, kuna mawili nahisi yametokea.
1. Wizi wa pesa wa kimtandao umefanyika
2.Watu wazito (mafisadi) wamechota mizigo yao kwa mkupuo na wakati mmoja.

Mbaya zaidi serikali imekaa kimya, inaonekana iko nyuma ya hili kuibia wananchi wake.
 
Wanajifanya kama hawaoni na hawasikii kinachoendelea. Si bure hapa bali kuna jambo.
 
Mimi nimeibiwa kama lak na 40 kwenye akaunti yangu
Pole sana, hata kama wana nguvu ya kucheza na mahakama awamu hii, ila kuna awamu itakuja, na hii benki itafilisiwa kwa dhambi hii wanayoendelea kufanya.

Nchi zingine, Benki kuu ingekuwa ishaingilia kati, ila awamu hii ya kipumbavu na kishenzi, si ajabu wameshapokea rushwa kutoka CRDB kulinyamazia au serikali ipo nyuma ya huu wizi. Inasikitisha na inauma sana, ni Bora tungeongozwa na picha ya nyerere kuliko uyu mama pale ikulu.
 
Tuanze na kujadili kwanini thamani ya kipande cha hisa CRDB mwaka huu imepanda ghafla na ikawa overvalued. Chanzo ni speculators au nini, na wao walikuwa na sababu zipi za kuamini thamani ya benki itapanda kabla haijaporomoka.

Lakini yule CEO wa CRDB huwa simuelewi sana ingawa sina sababu. Hili suala najua linamuumiza na vikao vya ndani wanapambana ila kama kuna shida unaweza kuta ni external hasa siasa.

Hata hivyo tutazame na benki nyinginezo, situmii CRDB ila NMB jana nimeweka hela kwa wakala akakatwa na kwangu haijaingia mpaka lisaa baadae. Equity nilipigiwa kuna attempt ya kuweka online subcription kwa acc yangu, nikakataa wakasema watafungia.
Leo nimepata SMS inadhibitisha nimelipia malipo online, hela ndogo tu iko kwenye acc. NBC wananidai hela "waliyosahau" kukata wakati kadi yangu inatumika MasterCard, transactions kadhaa zikapita baadae wakakusanya deni la sijui 5% ya kila transaction nikajikuta nadaiwa hela nyingi kwa pamoja nikaachana na kadi na hela iliyokuwemo walikata wakarudisha baadae ila bado nina deni. Sikuwaelewa.

Kwenye masuala ya mitandao benki zetu ziongeze umakini.
 
Jambo linalotisha zaidi
Huu ni mtazamo wangu:

Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais.

Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio lolote linaloashiria uhai wa benki husika, msitatajie wahusika watatoka hadharani na kuwaambia benki yenu inakwenda kuanguka au vinginenyo.

Hivyo, huenda kwa sasa tatizo lililopo linatishia future ya hii benki, ila bado wanapambana kurekebisha tatizo. Ikishindikana, watotoka rasmi kuwaambia benki yetu ina changamoto moja mbili tatu ila watawaambia fedha zenu ziko salama kabla ya tangazo rasmi la kuhitinisha..

Binafsi naona hii benki ndio taratibu inaelekea kuzorota na pengine kuanguka kabisa siku za usoni.

Hata mbuyu ulianza kama mchi.

Tusubiri.
Jambo linalotisha zaidi ni kwamba hakuna maelezo kutoka kwa wahusika.
Mimi nimeenda mara mbili wanadai makato talifanyika kimakosa.Mara ya pili wanasema wamekata deni.Nilipowaambia Sina makato ya deni kwa Sasa wakasema nitarudishiwa.
Kwa benki ya hadhi kubwa kama CRDB wanao wajibu wa kutoa maelezo ya kueleweka.
 
Bank hii vipepeo mishahara yao hupitia huko au?
 
Jambo linalotisha zaidi

Jambo linalotisha zaidi ni kwamba hakuna maelezo kutoka kwa wahusika.
Mimi nimeenda mara mbili wanadai makato talifanyika kimakosa.Mara ya pili wanasema wamekata deni.Nilipowaambia Sina makato ya deni kwa Sasa wakasema nitarudishiwa.
Kwa benki ya hadhi kubwa kama CRDB wanao wajibu wa kutoa maelezo ya kueleweka.
Muda utawaumbua
 
Back
Top Bottom