Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

kundi jepesi kudhulumiwa nchi hii ni wakulima. Hili liko wazi.
CRDB kwa asili ni ya watu wa vijijini= wakulima. Cooperarive and rural development bank CRDB.

Hivi naandika nini?!
 
Tuanze na kujadili kwanini thamani ya kipande cha hisa CRDB mwaka huu imepanda ghafla na ikawa overvalued. Chanzo ni speculators au nini, na wao walikuwa na sababu zipi za kuamini thamani ya benki itapanda kabla haijaporomoka.

Lakini yule CEO wa CRDB huwa simuelewi sana ingawa sina sababu. Hili suala najua linamuumiza na vikao vya ndani wanapambana ila kama kuna shida unaweza kuta ni external hasa siasa.

Hata hivyo tutazame na benki nyinginezo, situmii CRDB ila NMB jana nimeweka hela kwa wakala akakatwa na kwangu haijaingia mpaka lisaa baadae. Equity nilipigiwa kuna attempt ya kuweka online subcription kwa acc yangu, nikakataa wakasema watafungia.
Leo nimepata SMS inadhibitisha nimelipia malipo online, hela ndogo tu iko kwenye acc. NBC wananidai hela "waliyosahau" kukata wakati kadi yangu inatumika MasterCard, transactions kadhaa zikapita baadae wakakusanya deni la sijui 5% ya kila transaction nikajikuta nadaiwa hela nyingi kwa pamoja nikaachana na kadi na hela iliyokuwemo walikata wakarudisha baadae ila bado nina deni. Sikuwaelewa.

Kwenye masuala ya mitandao benki zetu ziongeze umakini.
Hiyo aya yako ya kwanza Kuna member alisema mwanzoni mwa agosti kwamba Kuna shida kuhusu hizi hisia.
 
1.Kuna mdau alishawahi kusema kule Jamii intelligence kwamba kuna siku Illuminati watakwapua mkwanja mrefu sana ili kutufanya tumnyenyekee mungu wao. Na huu upuuzi wa mifumo ya kimtandao ya kibenki, sijui mambo ya crypto currency na crypto wallet siyo mazuri Kwa afya ya fedha zetu. Siku wakidukua tumeishaaa. Kwa hili la CRDB nimeanza kuamini.

2.Muda wa kuanza kuficha pesa ndani tena umefika. Kwanini uweke pesa zako nyingi benki ikiwa kimeanza kuwa na huu ushenzi? Mmeshawahi kujiuliza kwa nini mafisadi na matajiri wengine sasa wanaficha fedha kwenye strong rooms nyumbani?
 
Back
Top Bottom