Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Wanajifanya kama hawaoni na hawasikii kinachoendelea. Si bure hapa bali kuna jambo.Ukweli mchungu, pesa za watu zimeshapotea, na wanakosa jinsi ya kulitatua, kuna mawili nahisi yametokea.
1. Wizi wa pesa wa kimtandao umefanyika
2.Watu wazito (mafisadi) wamechota mizigo yao kwa mkupuo na wakati mmoja.
Mbaya zaidi serikali imekaa kimya, inaonekana iko nyuma ya hili kuibia wananchi wake.
Pole sana, hata kama wana nguvu ya kucheza na mahakama awamu hii, ila kuna awamu itakuja, na hii benki itafilisiwa kwa dhambi hii wanayoendelea kufanya.Mimi nimeibiwa kama lak na 40 kwenye akaunti yangu
Kabla ya marekebisho ungevuta bank statement now ungewaburuza mahakamaniMimi nimeibiwa kama lak na 40 kwenye akaunti yangu
Ukifuatilia majibu yakojje kutoka kwa wahusika?Mimi nimeibiwa kama lak na 40 kwenye akaunti yangu
Zaidi huu ni msimu wa mavunooochama cha kijani Benki ya kijani
shamba na mbuzi zote ni mali ya Bwana Heri
kila mtu ale kwa Urefu wa kamba yake.
Yajao jafurahisha na kusikitisha.
Jambo linalotisha zaidi ni kwamba hakuna maelezo kutoka kwa wahusika.Huu ni mtazamo wangu:
Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais.
Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio lolote linaloashiria uhai wa benki husika, msitatajie wahusika watatoka hadharani na kuwaambia benki yenu inakwenda kuanguka au vinginenyo.
Hivyo, huenda kwa sasa tatizo lililopo linatishia future ya hii benki, ila bado wanapambana kurekebisha tatizo. Ikishindikana, watotoka rasmi kuwaambia benki yetu ina changamoto moja mbili tatu ila watawaambia fedha zenu ziko salama kabla ya tangazo rasmi la kuhitinisha..
Binafsi naona hii benki ndio taratibu inaelekea kuzorota na pengine kuanguka kabisa siku za usoni.
Hata mbuyu ulianza kama mchi.
Tusubiri.
Bank hii vipepeo mishahara yao hupitia huko au?Huu ni mtazamo wangu:

Muda utawaumbuaJambo linalotisha zaidi
Jambo linalotisha zaidi ni kwamba hakuna maelezo kutoka kwa wahusika.
Mimi nimeenda mara mbili wanadai makato talifanyika kimakosa.Mara ya pili wanasema wamekata deni.Nilipowaambia Sina makato ya deni kwa Sasa wakasema nitarudishiwa.
Kwa benki ya hadhi kubwa kama CRDB wanao wajibu wa kutoa maelezo ya kueleweka.