Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

kundi jepesi kudhulumiwa nchi hii ni wakulima. Hili liko wazi.
CRDB kwa asili ni ya watu wa vijijini= wakulima. Cooperarive and rural development bank CRDB.

Hivi naandika nini?!
 
Hiyo aya yako ya kwanza Kuna member alisema mwanzoni mwa agosti kwamba Kuna shida kuhusu hizi hisia.
 
1.Kuna mdau alishawahi kusema kule Jamii intelligence kwamba kuna siku Illuminati watakwapua mkwanja mrefu sana ili kutufanya tumnyenyekee mungu wao. Na huu upuuzi wa mifumo ya kimtandao ya kibenki, sijui mambo ya crypto currency na crypto wallet siyo mazuri Kwa afya ya fedha zetu. Siku wakidukua tumeishaaa. Kwa hili la CRDB nimeanza kuamini.

2.Muda wa kuanza kuficha pesa ndani tena umefika. Kwanini uweke pesa zako nyingi benki ikiwa kimeanza kuwa na huu ushenzi? Mmeshawahi kujiuliza kwa nini mafisadi na matajiri wengine sasa wanaficha fedha kwenye strong rooms nyumbani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…