Ni vichwa Maji kama hii ndo nilikuwa nataka member wengine waone?Umenikumbusha, tbc waliwahi kuandaa taarifa ya habari ya mchongo, watu waliojitambulisha n chadema wakiwa wamevaa tshirt za kutaka katiba mpya, walikuwa wanapinga katiba mpya 😂
Sasa kama huoni umuhimu wa kuwa huku, c uondoke, unamletea nani h Taarabu humu sasa?
Hili ni kombora kwa mods ikimaanisha wamepitwa na wakati. Anahitajika mods ambo wataweka filter kama sio kuondoa kabisa nyuzi za kipuuzi army mchängiaji mpuuzinfkan flan anayeandika ushuzi Kwenye uzi wa wenye wisdomKwanza kabisa nipende kuweka angalizo...
Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.
Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.
JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na wimbi la ma gen z, wasio na filter na malezi mazuri. Unakuta mtu kaanzisha nyuzi makini ambayo wa juzi wakichangia unaondoka na kitu, ila unashangaa comment ya kwanza mtu anaweka li meme la ajabu, linakata stimu hata za watu wanaokuja next.. Wanachukulia mzaha..
This is nothing but, a wastage of time and energy humu. Siongei haya kutafuta attention kama wengi wa navyo dhani, am herw kuongea ukweli wangu.
Binafsi, kinacho ni weka humu ni updates mabli mbali tu, kwa sababu this platform is less stimulating.. Ila sioni tena umuhimu wa kubaki humu. Labda niache kuwa naingia na account itanisaidia..
Ila ukweli, mimi naona hii platform wafanye mambo kuwe na filter ya wajinga na werevu, yaani ile mijitu ambayo iko cringe iwe inapigwa Kando...
Au kuwe na follow and following.. Sijui wafanyaje, ila kuwe na upungufu wa haya makundi mabaya ambayo kazi yao ni kuharibu tu..
Imagine mtu anaweka chapisho then badala ya topic kujadiliwa watu wanaanza kuongelea udaku humo ndani, na unakuta hata sio uzi wa kuweka masihara..mimi naona labda mpaka mtu aandike long-form content ndo angalau watilie maanani ila mm naona mizaha imekuwa mingi.. And this need to change.
Sikatai mizaha ila kuwwe na utimamu basi hata kidogo, watu waangalie sehemu ya kutema shit na Sehemu ya kuweka wisdom..
It's too much na inakera japo hatusemi na Tukisema bado watu watakuja na mizaha pia.
Moderators na uongozi wa jf, simamieni misingi bora ya hili jukwaa basi..
Atleast wewe umesema maana nimesema mno mpaka pm zao, ila no implementationHili ni kombora kwa mods ikimaanisha wamepitwa na wakati. Anahitajika mods ambo wataweka filter kama sio kuondoa kabisa nyuzi za kipuuzi army mchängiaji mpuuzinfkan flan anayeandika ushuzi Kwenye uzi wa wenye wisdom
Ndiyo mkuu, angalau unatoka hata umejifunza kitu, kuliko kukomment vithread uchwara na hakuna unacho gain!Kuna uafadhali huko?
Huo ni mtazamo wako..Kichwa cha habari "Binafsi sioni faida ya kuwa humu", kwenye maelezo yako umeelezea sababu kibao, nadhani tatizo lako kubwa ni kupenda kupewa attention, unapokosa attention au mtu kutofautiana na wewe tayari shida. Watu kama wewe huwa mnaamini mpo sahihi. Umeandika Binafsi huoni sababu ya kuwa humu, tayari umetafuta kupewa attention, vinginevyo ungekuwa unamaanisha unge delete account ukaendelea na maisha mengine, kuanzisha Uzi kuhusu kutoona faida ya JF tayari ni tatizo. Juzi ulipigwa ban, ilipoisha tu ukarudi kuanzisha thread kujieleza kuhusu ban, kwa kimombo mnaitwa "attention seekers",. Humu ukizingua kwenye maelezo yako unapigwa spanner 🛠️, kama una kifua kidogo bora uende Fb, insta, X etc.
Ni,kweli ila muda ume badirika kizazi kipya wana mitazamo yao twende nao MkuuNa kataa mkuu,
Mbona mwanzo kulikuwa na ustaarabu?