Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Below 30 ajitulize tuUnataka ajistukieee mzee na hana familiaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Below 30 ajitulize tuUnataka ajistukieee mzee na hana familiaaaa
Sishauri hilo mkuu,Below 30 ajitulize tu
Sisi tuna shauri yeye anafata maamuzi yakeSishauri hilo mkuu,
Wanaume wanakufa mapema azaee tu
😆 We mke wa Besyige unazingua
Ukiwa nje unaona walio ndani wanafaidi. Unaweza kuwa ndani ya ndoa na ukajikuta mpweke.Mmmmh we acha tu, asiyejua maana hawezi kuambiwa maana
Soma hapa MaT2BWeekend ndio inaendelea hivyo nimetoka job.
Gheto liko, kimya. Hakuna hata mwanamke wa kuongea naye.
Hali ya upweke inanijia..
Nashika simu, upande wa contacts hakuna hata jina la kike nipige.
nahisi mimi na mtatizo.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chukua ndoo au madumu uanze kupiga ngoma...maana unafosi ghetto lako liwe na kelele Kama la kwangu
Kwenye maisha hivi vitu vinahitaji uhiano sawa.Upweke hauodoki kwa kupata mke
Upweke ni loneliness ambao husababishwa na state of mind kutokuwa na Muunganiko mzuri wa AKILI na HISIA.
Solitude -kukaa peke yako kiafya ni nzuri Sana ukiona ili mambo yaende unahitaji WATU kwenye gheto lako you need to know something is wrong in ur mind.
Hamna mzeeKwamba bosi kaoccupy kila pis duuh
Hakuna bar hapo karibuWeekend ndio inaendelea hivyo nimetoka job.
Gheto liko, kimya. Hakuna hata mwanamke wa kuongea naye.
Hali ya upweke inanijia..
Nashika simu, upande wa contacts hakuna hata jina la kike nipige.
nahisi mimi na mtatizo.
Umeiweka kitaalamu sana.Upweke hauodoki kwa kupata mke
Upweke ni loneliness ambao husababishwa na state of mind kutokuwa na Muunganiko mzuri wa AKILI na HISIA.
Solitude -kukaa peke yako kiafya ni nzuri Sana ukiona ili mambo yaende unahitaji WATU kwenye gheto lako you need to know something is wrong in ur mind.
Ajira ushapata kwanza? Mshhara ukisoma ibuka hapo small planet mfululizo night kama 5 hiv. Alaf gfanya mambo yako mengine. Ratiba hii iweke kila mwezUpweke, upwiru, yote ni majibu.
toka 2017, ninaishi pekee yangu.
Lazima hivo vitu vinipate