Binafsi upweke unatesa kinoma

Binafsi upweke unatesa kinoma

Aloooh ogopa hyo hali mkuu mm piah upweke huwa unanisumbua sana hasa nikishaingia ghetto natamani hata ningekuwa na mdada wakunijali hta kwa kunitembelea tu ,nlkuwa na manzi ila tumeznguana.

Kuna demu nlmuona kanisani tena nkasema ikimpendeza Mungu nataka aje kuwa wife kbs ,nmepambana hadi nkapata mawasiliano yake na tungeweka appointment tukakutana mtoto kaniruka mita 100 ,ooh honestly let's just be friends naomba tuwe tu marafk wa kawaida aseeh nljua utani ila hadi leo bdo amekazia tuwe marafk tu na mbaya zaid hata kwenye huu urafki mm tu ndio nampgia Simu na hataki tuonane bas inanboa ndio nazd kuwa mpweke, feeling like am lost.

Mwanza nlkuwa naiona tamu mno ila huu upweke na kuzinguliwa na huyo manzi aktaka tuwe friends to naanza kuhisi uzto kuwa Mwanza.
 
Upweke hauodoki kwa kupata mke

Upweke ni loneliness ambao husababishwa na state of mind kutokuwa na Muunganiko mzuri wa AKILI na HISIA.

Solitude -kukaa peke yako kiafya ni nzuri Sana ukiona ili mambo yaende unahitaji WATU kwenye gheto lako you need to know something is wrong in ur mind.
Kwenye maisha hivi vitu vinahitaji uhiano sawa.
Huwezi kumshauri mtu aishi pekee yake kwa muda mrefu, eti ndio nzuri kiafya.
Hakuna kitu kama hicho iwe kisayansi au kidini.

Kila binadamu, anahitaji kuhusiana.
Ndio maana tuliumbwa jinsia mbili tofauti.
 
Huenda hata maana ya upweke hujaijua vizuri.

Unaweza kuwa na mwanamke hata ukawa na wanawake (mitala) na bado ukawa mpweke.

Unaweza ukawa single na usiwe mpweke.

Soma vitabu ujitambue ujisaidie maana hapo ulipo unaweza ku-force mahusiano na mwanamke ambae hujajiandaa kuhusiana nae ikawa na madhara kwako na upweke ukazidi mara dufu.
 
There is a difference between being alone vs being lonely.

Kuwa na mwenza kitanda kimoja hakufanyi ukaondokana Na loneliness hadi uwe umejitambua.
 
Watu wengi wanaishi na kulała dari moja kitanda kimoja na wenza lakini wanapitia tatizo kubwa la upweke 👌👌
 
Weekend ndio inaendelea hivyo nimetoka job.

Gheto liko, kimya. Hakuna hata mwanamke wa kuongea naye.

Hali ya upweke inanijia..

Nashika simu, upande wa contacts hakuna hata jina la kike nipige.

nahisi mimi na mtatizo.
Hakuna bar hapo karibu
 
Upweke hauodoki kwa kupata mke

Upweke ni loneliness ambao husababishwa na state of mind kutokuwa na Muunganiko mzuri wa AKILI na HISIA.

Solitude -kukaa peke yako kiafya ni nzuri Sana ukiona ili mambo yaende unahitaji WATU kwenye gheto lako you need to know something is wrong in ur mind.
Umeiweka kitaalamu sana.

Kiufupi, maisha yanahitaji balance. Inabidi uwe na uwezo wa kuenjoy your own company pale unapoamua mwenyewe au pale mazingira au hali inapokulazimisha kufanya hivyo.
 
Upweke, upwiru, yote ni majibu.
toka 2017, ninaishi pekee yangu.
Lazima hivo vitu vinipate
Ajira ushapata kwanza? Mshhara ukisoma ibuka hapo small planet mfululizo night kama 5 hiv. Alaf gfanya mambo yako mengine. Ratiba hii iweke kila mwez
 
Back
Top Bottom