Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Sasa hio ni kutojiamini. Wanajihami mapema... hahah...Uislamu ni imani isiyojiamini ndio maana hapo qatar hawataruhusu wainjilisti wahubiri kipindi cha kombe la dunia na hata baada.
Hawatak kupoteza mtu hata mmoja, wanahofia watu wakisikiliza neno la mungu, mungu wa upendo, mungu wa huruma, mungu anaesamehe kutoka kwenye biblia watavutiwa na kuacha uislamu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app