Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Sasa hio ni kutojiamini. Wanajihami mapema... hahah...Uislamu ni imani isiyojiamini ndio maana hapo qatar hawataruhusu wainjilisti wahubiri kipindi cha kombe la dunia na hata baada.
Sawa kabisa. Una akili nyingi sana.Kukonda🙊
Utaahira tena Chifu daaah...! [emoji23]Kuwa mwislaam ni kipimo tosha cha utaahira uliokithiri
Je dini inaitambua futbol mchezo wa wala kitimoto?View attachment 2423107
[emoji116]
Waliosilimu wakati wa ziara yao nchini Qatar kwa kombe la dunia katila wiki ya kwanza ya 558
[emoji116]
View attachment 2423112
Alhamdulilah tayari watu wanne wameingia katika Uisilamu nchini Qatar baada ya ujio wa DR ZAKIR NAIK
View attachment 2423107
👇
Waliosilimu wakati wa ziara yao nchini Qatar kwa kombe la dunia katila wiki ya kwanza ya 558
👇
View attachment 2423112
Alhamdulilah tayari watu wanne wameingia katika Uisilamu nchini Qatar baada ya ujio wa DR ZAKIR NAIK
Daah hizi nyuzi nyingine,imagine ndani ya dimba lao watu wajipigia tu wenye dini yao.
Allah kwani ni mchezaji mkuu,kuna wakati akili tunaziacha chini ya meza.Acheni unafiki. Jee huyo Allah alikuwa wapi wakati Qatar wanacharazwa mabao 2-0 na Equador nchi ambayo asilimia 92% ni Wakristu (80% Roman Catholics, 11% walokole).
LABDA KAMA MUNGU NI MOBUTU SESE SEKO.WANA TATIZO LA AFYA YA AKILI.Siku hizi Wabongo wanazidi kuwa vichaa kila kukicha.
Hizi promo za dini zinapishana vipi na zile za HAKI SAWA ZA KIKE NA WATOTO?
Mnajiulizaga lakini kuwa MUNGU ni UPENDO, sasa ni kweli Buddhism, Paganism, Hinduism, Christianity, Rastafarians, Non Believers n.k wote watachomwa moto kiama kikifika hata kama baadhi ya Watu walikuwa na matendo mema kitabia duniani?
Huo si utumwa wa fikra sasa?
UPENDO ndiyo dini ya kweli kwa Binadamu yeyote, mengine ni mbwembwe tu...[emoji143]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
[emoji38]LABDA KAMA MUNGU NI MOBUTU SESE SEKO.WANA TATIZO LA AFYA YA AKILI.
Kuna watu imewauma sana sheria za Qatar, hususani wenye tabia za ajabu ajabu, kama vipi msifuatilie mashindano haya,
England 6 VS 1 Iran [emoji736]Sijaandika popote kuhusu povu lako inaonekana umeumizwa sana na yale matokeo. Chukua na haya england 5 vs iran 1
Alah hakuweza kuwaidia...Mkuu me naomba kuuliza niliona waarabu wanapiga dua kwa timu yao ishinde, imekuaje tena wamefungwa. Je ni kumaanisha hakuna lolote katika maombi