mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Acheni unafiki. Jee huyo Allah alikuwa wapi wakati Qatar wanacharazwa mabao 2-0 na Equador nchi ambayo asilimia 92% ni Wakristu (80% Roman Catholics, 11% walokole).
Mkuu me naomba kuuliza niliona waarabu wanapiga dua kwa timu yao ishinde, imekuaje tena wamefungwa. Je ni kumaanisha hakuna lolote katika maombi
Alah hakuweza kuwaidia...
Niambie tangu umezaliwa umeomba Dua ngapi zimekubaliwa?
Mungu ni wetu sote,Qatar kaomba Dua na equado kaomba Dua.mungu anamjibu amtakae kwa wakati autakao yeye Mungu.
Na uenda Qatar wangekufa Zaid ya 5 ila Dua yao imepunguza magoli yakabaki 2
Vipi kwa yale mambo nayo pata pasipo kuomba hizo dua. Siwezi jua ngapi zimekubaliwa wakati aya ni maisha kila kitu kinatokea sababu ya maisha.
So unaposema Mungu anajibu amtakae kwa wakati unaaminisha Mungu ana uchoyo, hawezi kujibu baadhi ya maombi ya watu sasa kwa nini tunaimizwa kuomba.
Swali la mwisho. Wote huwa ni mashuhuda, tunaweza kua na safari akasimama sheikh akaomba tuwe na safari njema. Lakini baada ya km 50 tunaanguka vipi hapo napo?
Tena na wakawachapa Waandaaji Qatar mabao 2-0 swaaaaaaafi....Vipi atawasilimisha na hawa.?.kwa maana walimtukuza Bwana wa Majeshi hadharani kwenye Ardhi ya Mwarabu mbele ya Kamera.....View attachment 2422986
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kuomba Dua kwa Mungu ni ibada.na Mungu anampenda mja wake anayemuomba dua.maana anajua kuwa yeye ndo anatakiwa ategemewe.
sio kila Dua tunazoomba ZIJIBIWE.maana zingine hazina KHERI KWETU.
Mungu anaona yaliyo mbele yetu.
Mfano kuomba mtu ukue na safari njema iyo Dua haina kheri?..
Yaani siku mbili tu waliosilimu wamekwisha ota midevu ya Osama! Uongo lazima ufanane na ukweli.Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik
Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.
View attachment 2422130
Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.
"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.
View attachment 2422132
.................
Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022
View attachment 2422135
Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.
Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.
View attachment 2422136
Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.
Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.
Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.
View attachment 2422138
Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.
Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
sawa umeomba uwe na safari njema.ila siku yako ya kifo imefika.
Utakwepa vipi!?
Na unajua Kama kila kitu kinatokea kwa sababu?
Na hata ajali inatokea kwa sababu.
Sababu ya kutokea ajali ni ipi. Unaweza nielewesha?
Me nafahamu sababu ya kutoka ajali inaweza kua uzembe wa muongoza chombo, miundo mbinu, hali ya mazingira?
Ila Equardo hawakumuomba Mungu anayeitwa Alah (more than 90% ya wananchi ni Christians) kwa sababu hawamuamini.Niambie tangu umezaliwa umeomba Dua ngapi zimekubaliwa?
Mungu ni wetu sote,Qatar kaomba Dua na equado kaomba Dua.mungu anamjibu amtakae kwa wakati autakao yeye Mungu.
Na uenda Qatar wangekufa Zaid ya 5 ila Dua yao imepunguza magoli yakabaki 2
Qatar waliomuomba Mungu huyohuyo aliyeombwa pale msalabani au walimuomba mungu tofauti?Kuna mtu aliomba Dua akiwa msalabani.
Kikombe kile cha mauti kimuepuke na Mungu akala ganzi.
Akazidi kuomba MUNGU WANGU MUNGU WANGU.
Mbona umeacha.bado Mungu wake akala ganzi hakumsaidia.
Duuu Yani nimejikuta nacheka mwenyewe Bro angalia wasije wakakusomea Surat Kusumbuka!!Kuwa mwislaam ni kipimo tosha cha utaahira uliokithiri
UmenenaHii ni di,,ni au takataka
Allah Amewaangusha,Mkuu me naomba kuuliza niliona waarabu wanapiga dua kwa timu yao ishinde, imekuaje tena wamefungwa. Je ni kumaanisha hakuna lolote katika maombi
Sio siriKuwa mwislaam ni kipimo tosha cha utaahira uliokithiri
Yep..Mkuu me naomba kuuliza niliona waarabu wanapiga dua kwa timu yao ishinde, imekuaje tena wamefungwa. Je ni kumaanisha hakuna lolote katika maombi