Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Ila mashoga wengi waislamu
!!!!????Ila nyie jamaa mna Inferiority complex kali sana
Ndani ya viunga vya QatarView attachment 2423730
Ila mashoga wengi waislamu
Mkuu unachokisema hakina usahihi kwa sababu unaitafsiri dini kwa mujibu wa watu iliowashukia.Uislam ni Dini ya kiarabu, na kitabu Chao ni Quran, Mungu wao ni Allah, Waandishi wake ni waarabu.
Unaposema uyahudi ni dini ya wayahudi mkuu haijakaa wazi kwamba ilianza dini ya uyahudi kisha ambao walifuata dini hiyo ndio wakaitwa wayahudi ?Uyahudi ni Dini ya Wayahudi na waisrael.
Hawa wanavitabu vingi, kitabu chao kikuu ni Torati, ingawaje vipo vitabu vidogo kama Zaburi, waandishi wake ni mayahudi wenyewe. Mungu wao ni Yehova.
Ulishasema juu kwamba mayahudi katika vitabu vyao ni torati na zaburi hivyo ni dhaahir kuwa mayahudi walifuata muongozo wa vitabu hivyo.Ukristo na uislam hauwezi kukataa kuwa haujafanya copy na ku-paste baadhi ya visa vya Mayahudi.
Mkuu unachokisema hakina usahihi kwa sababu unaitafsiri dini kwa mujibu wa watu iliowashukia.
Unachanganya baina ya uislamu na Qurani,ulitakiwa useme qurani ni kitabu cha kiarabu kwa sababu kimeshuka kwa lugha hiyo...
Uyahudi ni dini ama kabila ?Mfano kabla ya Ibrahimu hapakuwa na Uyahudi maana mwanzilishi wa uyahudi ni Ibrahimu.
Tatizo sio kutaja bali tatizo ni marejeo ya nitakayoyataja kama yanakubaliana na wewe ama laa.hivyo kutaja sio tatizo.Uislam unamisingi yake, nitajie misingi kikuu ya uislam. Alafu uniambie katika misingi hiyo, manabii waliotangulia wa kiyahudi msingi upi waliufuata?
Hatugombani tunajadili kwa hoja tu,sasa kwamba hatutaki kuelewa huwenda mimi sikushiriki hiyo mijadala na huwenda pia nina hoja zangu binafsi so kunijumuisha katika hilo sio sawa pia.Kabla ya Muhammad hapakuwa na uislam, sijui Kwa nini Waislam hamtaki kuelewa Jambo hili
Kuna tofauti ya kuanzisha na kuendeleza,uislamu haukuanza wakati wa muhammad bali uislamu muhammad alikuja kuendeleza mafundisho yake.Uislam chanzo chake kinafahamika na aliyeuanzisha anajulikan
Hao ni mabinti wa Islamic republic of Iran,wamevua hijab, hawataki upuuzi na maijabuJapokuwa umeisifia qatar kwa walichokifanya na kupeleka kongole kwa waislamu umefanya uungwana sana mkuu.
Ila naomba nichangie katika point ya kwamba "UISLAMU KUNA MAANDIKO UMEIBA KUTOKA KATIKA TAURATI,ZABURI NA INJILI".
Ukisoma uislamu ama qurani utaona kabisa mkuu kwamba hivo vitabu vya taurati,zaburi na injili ni katika vitabu vya kiislamu kablya ya qurani.
Uyahudi ni dini ama kabila ?
Tatizo sio kutaja bali tatizo ni marejeo ya nitakayoyataja kama yanakubaliana na wewe ama laa.hivyo kutaja sio tatizo.
Mimi ninaweza kukupa ushahidi ambao kumbe kwa upande wako hukubali marejeo ya shahidi hizo.
Hatugombani tunajadili kwa hoja tu,sasa kwamba hatutaki kuelewa huwenda mimi sikushiriki hiyo mijadala na huwenda pia nina hoja zangu binafsi so kunijumuisha katika hilo sio sawa pia.
Kuna tofauti ya kuanzisha na kuendeleza,uislamu haukuanza wakati wa muhammad bali uislamu muhammad alikuja kuendeleza mafundisho yake.
Walioko ulaya wanafunga ndoa kanisani ni waislam?Ila mashoga wengi waislamu
Iran asilimia kubwa wana tamaduni za kishia na ushia ni kinyume na Uislamu.Hao ni mabinti wa Islamic republic of Iran,wamevua hijab,hawataki upuuzi na maijabu
wewe jamaa uisilamu unakuwasha Sana kilasiku unakuja nahoja mojatu kua uisilamu umeiba baazi yamaandiko. sasa kama unaona vipi hamiabasi utoke huko ukafirini nafsi yako iwe huru. hatutaki pongezi zako zakinafiki
Dini ya Kikristo inachezewa Sana.PONGEZI; QATAR IMEUPA HESHIMA UISLAM NA UTAMADUNI WA KIARABU.
Anaandika, Robert Heriel
Shahidi.
Historia Jana imeandikwa. Tukio la kihistoria katika ukanda wa mashariki ya Kati sio tu limeipa heshima Nchi ya Qatar bali limeupa uislam utukufu na heshima kubwa Duniani. Waislam na jamii zote za kiarabu siku ya Jana wameionyesha dunia kuwa inawezekana dunia ya maadili na ustaraabu/uungwana Kwa kuunganisha tamaduni nzuri zenye manufaa zinazolinda utu wa binadamu.
Uislam hauna mvuto katika mawaidha au mahubiri katika majukwaa ya kutangazia dini au katika propaganda. Lakini Jambo la hakika ambalo uislam unaweza kujivunia na ambalo ndio mvuto wa uislam ni Desturi, sheria na matendo yao.
Qatar wameonyesha mfano Bora Wakuigwa sio tuu na Waislam wengine ulimwenguni bali pia hata na siye tusio Waislam.
Michezo ya mwezi mmoja haiwezi kubadilisha na kuvunja sheria na utamaduni wetu, hivyo ndivyo Qatar walivyofanya.
Ingawaje wapo wenye chuki na Waislam kwa kuwashutumu mambo mabaya kama ugaidi, roho mbaya, ukatili n.k. Lakini hayo mambo hatuyaoni katika ulimwengu halisi wa kiislam.
Uislam umejengwa katika kufuata Muongozo Mkuu ambao ni Quran, ingawaje niliandika kuwa Quran ilikopi na kuiba maandiko ya kiyahudi Jambo ambalo ni kweli kabisa lakini ninachowasifu Waislam ni uwezo na msimamo wao wa kufuata yale yaliyoandikwa humo kwenye kitabu Chao bila kujali yaliibiwa au hayakuibiwa.
Na wanaweza kutuambia Sisi Wakristo au Mayahudi kuwa ni kweli Sisi Waislam tuliwaibia maandiko yenu kwa sehemu, lakini tunayafuata Kwa 100% hayo maandiko, vipi nyie (mayahudi na Wakristo) ambao ndio wamiliki halali wa hayo maandiko mnafuata yaliyoandikwa humo yaani kwenye Torati, Zaburi na Injili?
Swali hilo ndilo Waislam wangeweza kujivunia nalo. Ni Sawa na Wazungu au wachina kuiba Teknolojia ya mataifa mengine na kuibadilisha kidogo sio kosa, huo ni ujanja, na Akili. Hivyo ndivyo waislam walivyofanya Kwa upande wa Dini.
Niwapongeze Qatar na Waislam wote Duniani Kwa kuonyesha msimamo thabiti. Na hicho ndicho kinahubiri na kuwasilimisha watu zaidi kuliko kupigapiga kelele kwenye maredio au Television kama Sisi Wakristo.
Matendo ni muhimu zaidi kuliko kelele kelele.
Kataa ushoga hadharani hasa viongozi wa kitaifa.
Kataa mapombe kunywewa hadharani,
Kataa watu kukaa nusu uchi au kutokuvaa Kwa adabu.
Na Sheria Kali zimewekwa.
Wakristo na mataifa mengine tunayomengi ya kujifunza kutoka Kwa waislam. Hata kama tunawaona kama Watoto wa Kambo, au watoto wa hawara lakini wanamazuri yao mengi tu.
Kuhusu tabia mbaya za mtu binafsi ambazo zinachafua uislam hiyo ni kawaida kuwepo lakini haimaanishi Uislam ni mbaya au dini mbaya.
Hata Shetani alitoka mbinguni Kwa Mungu Baba, hivyo haimaanishi mbinguni kuna wadhambi. Isipokuwa zinatokea Error.
Hongereni Sana Watoto wa Mama Mdogo, hongereni Waislam.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Dar es salaam
Ni wachache kuliko waislamuWalioko ulaya wanafunga ndoa kanisani ni waislam?
Dini ya Kikristo inachezewa Sana.
wewe unacho tafuta nikubishanatu sikuzote kuhusu dini yauisilamu. walahuna jingine kwasababu Kama ni pongezi ungepongezatu mambo yakaisha lakini wewe kwakua unahila umeingiza mambo yako mengine. ila kwakua tusha kujua endeleatu ukichoka utaacha.Nimewapa sifa za dhati,
Usifikiri Mimi ni Wale wafuasi WA dini mnaofuata dini bila kuangalia Ukweli.
Uislam ni Dini nzuri lakini watu wake baadhi ndio mnaiharibu Kwa kutokuukubali ukweli uliomo.
Kwani mkikubali ukweli kuwa Quran imechukua visa na maandiko ya Wayahudi mtapungukiwa kitu gani? Mbona Wakristo wao wamekubali ukweli huo.
Kulazimisha mambo ambayo sio yenu mkiyqfanya ni Yenu huo ni UTAPELI na dhulma.
Jambo ambalo naamini Quran na uislam wenyewe hautaki.
wewe unacho tafuta nikubishanatu sikuzote kuhusu dini yauisilamu. walahuna jingine kwasababu Kama ni pongezi ungepongezatu mambo yakaisha lakini wewe kwakua unahila umeingiza mambo yako mengine. ila kwakua tusha kujua endeleatu ukichoka utaacha.