Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik
tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Huyu gaidi India walimnyang'anya passport anahitajika huko maana ana kesi ya kujibu. Kwa sasa kajificha kwa magaidi wenzake Malaysia
 
Ni kawaida ukipambania haki utazushiwa mengi
Huyo ni gaidi. Hana lolote analopambana nalo. Waislam wa Canada waliomba Serikali ya Canada impige marufuku kuingia Canada na ombi lao lilikubaliwa.

Naik anawezaje kuwa mfano mwema kwa Waislam wakati hata nchi za Kiislam hazimtaki. Hana tofauti na Osama

Tv yake ya Peace tv imepigwa marufuku hata Bangladesh ambayo ni nchi ya Waislam wengi. Huyu hahubiri dini bali anahubiri ugaidi
 
Huyo ni gaidi. Hana lolote analopambana nalo. Waislam wa Canada waliomba Serikali ya Canada impige marufuku kuingia Canada na ombi lao lilikubaliwa.

Naik anawezaje kuwa mfano mwema kwa Waislam wakati hata nchi za Kiislam hazimtaki. Hana tofauti na Osama
Nchi hizo zinamkataa kwa hoja zake za kusimilisha watu, subiri matokeo ya Kombe la dunia tutakuja hapa kushuhudia maelfu wakisilimu.
 
Kumbuka Drogba naye anaelekea huko huko, bado anawapumbaza lakini nuru ameshaiyona tayari. Kukana kwake ni kuwapumbaza na kuhofia asitengwe.
Nyie mnachukua magalasa, hebu chukueni watu wanaomjua Yesu kiukweli. Nimekupa mfano wa Kaka. Huyo Drogba alikuja hapa bongo, uzinzi alioufanya ni balaa.
 
😂😂😂😂waslamu bhana ani unapambana kumsilmisha mkristo wakati kuna watu bado wawajui uwepo wa dini hiyo wala dini yoyote kwann msiwapelekee dini hao kama kweli mnahubiri Mungu mmekaaga kimchongo sana mnawaza kupata attention na mungu hana habari hiyo..
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik
tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Kuna uhusiano gani wa hayo mahubiri na ile kauli mbiu ya "football is a fair play game"?
 
Nchi hizo zinamkataa kwa hoja zake za kusimilisha watu, subiri matokeo ya Kombe la dunia tutakuja hapa kushuhudia maelfu wakisilimu.
Tatizo ww unadhani kila mzungu ni mkristu wengi ni watu wasio na dini. Wakikutana na gaidi kama naik wanajiunga naye huku wanaendelea kula bia na kitimoto mradi wapate furaha ya WC.

Kwa mujibu wa India, Bangladesh, Sri Lanka, UK na Canada Zair Naik ni gaidi. Tena amekimbia India ameenda kujificha Malaysia ili asikamatwe
 
Nyie mnachukua magalasa, hebu chukueni watu wanaomjua Yesu kiukweli. Nimekupa mfano wa Kaka. Huyo Drogba alikuja hapa bongo, uzinzi alioufanya ni balaa.
Sasa ndugu yangu Bujibuji, ngoja tuone idadi ya watao silimu baada ya FIFA 2022. Tunategemea wachezaji wakubwa duniani huwenda wakasilimu pamoja na viongozi wa makanisa.
 
Watu wanaenda kuangalia mashindano ya kombe la dunia yeye analeta mambo ya mhadhara wa kidini, sio pahala pake.

Na kwenda mbinguni hakuhusiani katu na mambo ya kuslimu, hayo mambo ya kuslimu yanabaki hapa hapa duniani, hizo ni siasa tu religious politics.
Kama mbingu ni mirathi ya baba yako,fanya mpango na Mimi nifike
 
Was a prophet of God and was born to a virgin (Mary).
In the Qur’an, Jesus, peace be with him, is called Kalimat Allah, the “Word of God,” or rather, to be more precise, he is referred to as kalimatin min Allah “a Word from God.”

1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana 1:1

JESUS CHRIST IS THE KING OF KINGS!!!
 
Back
Top Bottom