Mbona sijaona wakivaa hayo makanzu ya waarabu na mtume wenu.
Hapana Mkuu.
Mpira sio haramu na hakuna Aya inayoelezea mambo ya michezo sio tuu kwenye Quran Bali hata kwenye Biblia
Kila vazi linamatumizi yake.
Kanzu sio vazi la michezo Sheikhe.
Utaona tu wakivaa majoho ya Papa wa vatican na maaskofu na mashemashi muda ukifika.
To cut story short, kwa Mantiki yako hata Mungu hawezi kuwa Yehova, kama suala ni majina.
Halafu kumbuka Taurati ilikuwa ni kitabu cha sheria kwa ajili ya Bani Israel katika zama hizo, Qur'an ni kwa dunia nzima hadi Qiyama.
Mungu ni mmoja tu aliyeumba mbingu na aridhi na vilivyomoYehova na Allah ni miungu wawili tofauti MKUU. Kwa nini mnapenda kuwafanya kuwa kitu kimoja ilhqli kuna ushahidi wa wazi kuwa ni miungu wawili tofauti?
Unataka tuanze kuwachambua uone utofauti wao?
Je mapaja ya mwanaume mbona hamzushi.
Mungu ni mmoja tu aliyeumba mbingu na aridhi na vilivyomo
Weka huo ushahidi unaonyesha Yehova na Allah ni miungu miwili tofauti?
Ndio maana kwenye Ile Mada yangu ya Quran na Biblia Mahakamani, nikasema watu wengi hamna elimu ya hata Mambo.
Torati, zaburi, injili ni vitabu vilivyoandikwa na Wayahudi, Dini Yao uyqhudi, Mungu wao ni Yehova.
Lakini Quran imeandikwa na waarabu, Mungu wao ni Allah.
Na miungu wote Wanasheria zao zinazowatambulisha na kuwatofautisha na miungu mingine.
Ajabu moja inayowafanya Waislam waonekane ni hamnazo nu kulazimisha Mungu wa Wayahudi ndiye yuleyule Mungu WA waarabu yaani Allah. Jambo ambalo hata mtu asiye na akili anaweza kuona sio.
Achiliq mbali Kwa watu wasomi walioenda shule
Uchi wa mwanaume unaanzia juu ya magoti mpaka kiunoni.
Lakini akiwa kifua wazi sio uchi.
Hii ni tofauti na Wanawake
Hongera sana umeandika vizuri mno ni hivi watu hawajui tu hasa wakristo.PONGEZI; QATAR IMEUPA HESHIMA UISLAM NA UTAMADUNI WA KIARABU
Anaandika, Robert Heriel
Shahidi.
Historia Jana imeandikwa. Tukio la kihistoria katika ukanda wa mashariki ya Kati sio tu limeipa heshima Nchi ya Qatar bali limeupa uislam utukufu na heshima kubwa Duniani. Waislam na jamii zote za kiarabu siku ya Jana wameionyesha dunia kuwa inawezekana dunia ya maadili na ustaraabu/uungwana Kwa kuunganisha tamaduni nzuri zenye manufaa zinazolinda utu wa binadamu.
Uislam hauna mvuto katika mawaidha au mahubiri katika majukwaa ya kutangazia dini au katika propaganda. Lakini Jambo la hakika ambalo uislam unaweza kujivunia na ambalo ndio mvuto wa uislam ni Desturi, sheria na matendo yao.
Qatar wameonyesha mfano Bora Wakuigwa sio tuu na Waislam wengine ulimwenguni bali pia hata na siye tusio Waislam.
Michezo ya mwezi mmoja haiwezi kubadilisha na kuvunja sheria na utamaduni wetu, hivyo ndivyo Qatar walivyofanya.
Ingawaje wapo wenye chuki na Waislam kwa kuwashutumu mambo mabaya kama ugaidi, roho mbaya, ukatili n.k. Lakini hayo mambo hatuyaoni katika ulimwengu halisi wa Kiislam.
Uislam umejengwa katika kufuata Muongozo Mkuu ambao ni Quran, ingawaje niliandika kuwa Quran ilikopi na kuiba maandiko ya kiyahudi Jambo ambalo ni kweli kabisa lakini ninachowasifu Waislam ni uwezo na msimamo wao wa kufuata yale yaliyoandikwa humo kwenye kitabu Chao bila kujali yaliibiwa au hayakuibiwa.
Na wanaweza kutuambia Sisi Wakristo au Mayahudi kuwa ni kweli Sisi Waislam tuliwaibia maandiko yenu kwa sehemu, lakini tunayafuata Kwa 100% hayo maandiko, vipi nyie (Mayahudi na Wakristo) ambao ndio wamiliki halali wa hayo maandiko mnafuata yaliyoandikwa humo yaani kwenye Torati, Zaburi na Injili?
Swali hilo ndilo Waislam wangeweza kujivunia nalo. Ni Sawa na Wazungu au wachina kuiba Teknolojia ya mataifa mengine na kuibadilisha kidogo sio kosa, huo ni ujanja, na Akili. Hivyo ndivyo waislam walivyofanya Kwa upande wa Dini.
Niwapongeze Qatar na Waislam wote Duniani Kwa kuonyesha msimamo thabiti. Na hicho ndicho kinahubiri na kuwasilimisha watu zaidi kuliko kupigapiga kelele kwenye maredio au Television kama Sisi Wakristo.
Matendo ni muhimu zaidi kuliko kelele kelele.
Kataa ushoga hadharani hasa viongozi wa kitaifa.
Kataa mapombe kunywewa hadharani,
Kataa watu kukaa nusu uchi au kutokuvaa Kwa adabu.
Na Sheria Kali zimewekwa.
Wakristo na mataifa mengine tunayomengi ya kujifunza kutoka kwa Waislam. Hata kama tunawaona kama Watoto wa Kambo, au watoto wa hawara lakini wanamazuri yao mengi tu.
Kuhusu tabia mbaya za mtu binafsi ambazo zinachafua Uislam hiyo ni kawaida kuwepo lakini haimaanishi Uislam ni mbaya au dini mbaya.
Hata Shetani alitoka mbinguni kwa Mungu Baba, hivyo haimaanishi mbinguni kuna wadhambi. Isipokuwa zinatokea Error.
Hongereni Sana Watoto wa Mama Mdogo, hongereni Waislam.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Dar es salaam
Naona lugha itakuwa zinakuchanganya. Kiaramaic pia neno Mwenyezi Mungu linasound Allah. Biblia ya kiarabu inatumia Allah.Ndio maana kwenye Ile Mada yangu ya Quran na Biblia Mahakamani, nikasema watu wengi hamna elimu ya hata Mambo.
Torati, zaburi, injili ni vitabu vilivyoandikwa na Wayahudi, Dini Yao uyqhudi, Mungu wao ni Yehova.
Lakini Quran imeandikwa na waarabu, Mungu wao ni Allah.
Na miungu wote Wanasheria zao zinazowatambulisha na kuwatofautisha na miungu mingine.
Ajabu moja inayowafanya Waislam waonekane ni hamnazo nu kulazimisha Mungu wa Wayahudi ndiye yuleyule Mungu WA waarabu yaani Allah. Jambo ambalo hata mtu asiye na akili anaweza kuona sio.
Achiliq mbali Kwa watu wasomi walioenda shule
Naona lugha itakuwa zinakuchanganya. Kiaramaic pia neno Mwenyezi Mungu linasound Allah. Biblia ya kiarabu inatumia Allah.
Allah(The God) na neno Ilah(God).
They have certainly disbelieved who say that Allah is Christ, the son of Mary. Say, "Then who could prevent Allah at all if He had intended to destroy Christ, the son of Mary, or his mother or everyone on the earth?" And to Allah belongs the dominion of the heavens and the earth and whatever is between them. He creates what He wills, and Allah is over all things competent.
(Qur'an 5:17)
Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu. Sema: Ni nani mwenye kumiliki chochote mbele ya Mwenyezi Mungu ikiwa Yeye angetaka kumuangamiza Masihi mwana wa Maryamu, na mama yake, na wote waliomo katika ardhi? Na mamlaka ya mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ni vya Mwenyezi Mungu. Huumba apendavyo. Na Mwenyezi Mungu anao uweza juu ya kila kitu.
(Qur'an 5:17)
Niambie ukristo imeiba nini ktk uyahudi wakati ukristo ni combination ya two episodes. Yaani umejiibia.
Wewe umeenda shule??.
Shida yako unalazimisha vitu viendane na akili zako finyu.
Wayahudi kwa Kiebrania Mungu wanamuita Yehova, Uyahudi ni dini ya Waisraeli aliyopewa Nabii Musa (as), naye sisi waisilamu tunaamini alitumwa na Mungu hivyo Yehova ni jina la Mungu kwa kiebrania Mungu huyo huyo aliyetuma manabii wengine ambaye pia anayo majina tofauti kulingana na lugha za hao manabii, katika Qur'an huyo Mungu kajiita Allah na hata karibu kila kabila linalo jina lake kwa ajili ya Mungu, sasa acha ubishi wa vijiwe vya kahawa hapa kama wewe umeenda school.
Tafuta maana ya neno Yehova kwa wanaojua.
Kwa hiyo kutopanick ndo kunaluaminisha kwamba imeandika point? Ukristo haujaiba lolote tkt uyahudi. Ni mwendelezo na climax ya uyahudi. Hata agano jipya likutaka kunukuu maandiko ya OT linanukuu.Kwa upande wa Ukristo wao wapo wazi Kabisa kuwa wanatoa mambo moja Kwa moja kwenye Torati na kutokujimilikisha maandiko yaliyotangulia.
Lakini Uislam unajimilikisha vitu vilivyokwisha kuwepo na kusema ni vyake na hapo ndipo neno wizi linapotokea.
Angalia Wakristo licha ya kusema wameiba maandiko ya kiyahudi wao hawajapaniki wala kutoa povu kwani wanajua Ukristo ni Uyahufi wa Kisiasa hovyo sio ajabu wakiambiwa wameiba uyahudi wa zamani.
Ishu ipo WA uislam hawataki kusikia hivyo
Wao wanaamini Musa alikuwa Muislam, Daudi alikuwa Muislam na manabii wnegine lakini wakiambiwa wathibitishe wanashindwa.
Wakristo wao wanajua kabisa manabii wote waliopita walikuwa ni Mayahudi, hata huyo Yesu mwenyewe pia dini yake ni myahudi.
Hivyo utaona utofauti wa Wakristo na waislam katika kuangalia asili ya Dini zao.
Mi nimekupa tafsiri maana ya neno Allah usijikoroge. Ukisema Jehova sio Allah kwa lugha maana Jehova sio Mungu.Kwa nini mnalazimishq kuwa Yehova ndiye Allah?
Embu naomba unitajie amri kumi alizopewa Musa kwenye zile Mbao Kwa mujibu Quran ili tuanzie hapo, uone Allah na Yehova wq kina Musa ni miungu wawili tofauti.
Alichofanya Muhammad ni Ku-copy na kuhariri(kubadilisha baadhi ya maudhui)
Nipe Aya kutoka kwenye Quran
Hongera sana umeandika vizuri mno ni hivi watu hawajui tu hasa wakristo.
Vitabu au maandiko yaliyoshushwa ni
1.Tourati-mtume Musa 2.Zaburi-Daudi 3.Injili-Isa bin Mariam YESU 4.Quran-Mtume Muhamad (SAW)
Tatizo wakristo hivyi vitabu vingine kuacha Quran wanaona ni mali yao.Hata YESU alivyokuja alipata kusema mimi sikuja kutengua ya manabii walipita kabla yangu.
Ni ukweli ulio wazi kabisa Mungu alimleta YESU kuleta Injili alivyosulubiwa ikapita miaka 570 akaona amlete nabii mwingine wa mwisho(acha hawa feki wanaoibuka sasa hiv8) ambaye atawaongoa binadamu.
Dini za uislam na Ukristo chimbuko lake ni moja ni kwa Ibrahim.
Swala la kusema Uislam sijui uliiba maandiko kutoka kwa wayahudi sio sahihi ingesemwa hivyo waislam na wakristo hawakuiba au ku copy waliendeleza maandiko ya manabii watangulizi wa Mtume wao YESU na Mtume Muhamad.
Mtu kuchukua kilicho chake haibi inaambiwa kachukua akifanyie kazi.
Ila mleta mada hongera sana kuleta mada yenye wingi wa busara na mantiki tunawekana sawa tu
Ukiangalia Uzi wako harak haraka waeza ona umeandika Kwa Nia Safi na kuappreciate Uislamu lakini ndani yake kuna ukakasi mwingi Sana na ufahamu mbaya juu ya UislamuPONGEZI; QATAR IMEUPA HESHIMA UISLAM NA UTAMADUNI WA KIARABU