Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

wenzio wengi wanajua hivyo. wewetu ndiohujui

Wanajua Yesu sio Mungu.
Ila ninyi ndio hamuwaelewi.

Wakristo wako very smart hasa kwenye ishu za Dini kuliko waislam waliowengi. Ndio maana Wakristo hawaendeshwi na mihemko.

Kinachowaharibia ninyi waislam ni Uelewa mdogo WA waislam wengi KUHUSU maandiko matakatifu.

Ngoja nikupe Aya hii alafu unifafanulie,
Soma;
Kutoka 7:1
BWANA akamwambia Musa, Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao; na huyo ndugu yako Haruni atakuwa nabii wako.

Embu eleza Kwa ufahamu wako unaelewaje Aya hiyo?
 
sasa mbona mnasema yesu ameondoka nazambi zenu msalabani yeye Kama Nani abebe mizambi ya watu?

Unaijua Torati vizuri?
Kwa Uelewa wako na unavyoijua Torati embu eleza namna watu walivyokuwa wanasamehewa dhambi zao kipindi cha Nabii Musa.
Au hata Kwa mujibu wa Quran.

Hapo ndipo utaelewa kuwa unamambo MENGI ya kujifunza katika Dini hizi zenye Asili ya Abrahamu/Ibrahim.

Majibu tafadhali
 
Amka usije ukalowesha mashuka
Punguza mihemko tumia zaidi akili yako, control your emotion.
How could you be so weak emotionally and dull minded?
Those words of mine was supposed to be cryptic, only great minds will decode and understand.
Never was my intention to attack your thoughts or challenge your ideologies but to complement and give you other perspectives.
Rumour has it, ........... alitangulizwa sababu ya misimamo yake.
 
Hivi kwanini Wakimbizi wengi wanaotokea Afghanistan, Iran, Syria n.k hukimbilka nchi za Magharibi kama Ulaya na USA badala ya nchi za kiislamu kama Saud Arabia, Indonesia, Quarter n.k?

Kuna siri gani haswa hapo Chifu?
Waarabu hawahitaji wakimbizi bali wafanyakazi tu
Kuna michango mikubwa wanayochangia kuhusu wakimbizi duniani
Sio lazima upokee wakimbizi bali unaweza kuchangia kwa hela pia
Ndio maana kuna taasisi nyingi za kusaidia wakimbizi

Umeweza kujiuliza wanapata wapi hela na chakula kuwalisha?
Sio wazungu bali wenye uchumi mkubwa pia huchangia kiasi kikubwa

Ila ukija sasa kwa Waafrika kama sisi
Hela za wakimbizi tunachukua na kudanganya takwimu kwa dhulma hii tutaenda wapi mbele ya Mungu

Wakimbizi wakipita tena kupita tu mtawaibia hela zao na kuwadhalilisha mbele ya camera na kuwaita wahamiaji Haramu

Hapo hapo hela za kufadhili wakimbizi mnapiga na maturubali ya UN mnabeba

Ulaya unaingia kwa njia zote na hata sasa nchi kama [emoji636] Waziri wa Fedha amesema tunahitaji zaidi ya watu 200,000 kuja kufanyakazi kunyanyua uchumi wetu
Na bungeni wanahoji watoke wapi?
Njoo mkuu we need you [emoji1]
 
Hata Kwa Ukristo na uyahudi kila kitu ni Ibada, Ila kuna siku ya kuabudu.
Wewe unazungumzia Jambo dogo Kama hilo alafu unasema watu hawafahamu😂😂

Kwa mujibu wa dini yako siku gani ni ya kuabudu?
Si nimesema ni siku zote!!..inamaana hukuzingatia nilichokisema,keshokutwa Tena utakuja na hilohilo,kwenye uislam hakuna siku maalum ya kuabudu,siku zote ni za ibada
 
Punguza mihemko tumia zaidi akili yako, control your emotion.
How could you be so weak emotionally and dull minded?
Those words of mine was supposed to be cryptic, only great minds will decode and understand.
Never was my intention to attack your thoughts or challenge your ideologies but to complement and give you other perspectives.
Rumour has it, ........... alitangulizwa sababu ya misimamo yake.

Umeni- quote hapo juu alafu unazungumzia vitu ambavyo vipo nje ya kile nilichoandika ndio maana nimekuambia amka usije ukakojoa. Maana ni Kama unaota.

Labda ungeniuliza swali ningeona unahitaji mjadala
 
Again rudia tena comment zote, mbona unakuwa mzito hivyo?
Ulisumbua sana waalimu wako. Kwenye fasihi unafanyeje mkuu.
 
Mkuu sijawahi ona uzi wako hapa nikapuuza kuusoma, hata kama ni mrefu vipi nitasoma kwa makini sana, uko vizur sana mkuu, shusha madini mkuu. Wewe ndo Robert Heriel , taikon wa JF , Mtu mwenye uelewa wa hali ya juu sana.
 
Haijasema

“Enyi mlioamini! Kukiadhiniwa kwa ajili ya Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara. Kufanya hivi ni bora kwenu. Ikiwa mnajua (hivi basi fanyeni). Na itakapokwisha Sala, tawanyikeni katika ardhi mtafute fadhila za Mwenyezi Mungu, na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi, (ili msipate kufanya mabaya), ili mpate kufaulu.” (Qur’an 62:9-10)
 
Again rudia tena comment zote, mbona unakuwa mzito hivyo?
Ulisumbua sana waalimu wako. Kwenye fasihi unafanyeje mkuu.

😀😀

Unataka nithibitishe mambo ya ufufuko wakati hoja za humu hazihusiani na ufufuko.
Ukanituma mpaka Kwa JPM😊

Hii Mada tufanye siku nyingine Kwa sababu ni ndefu alafu ni complicated Kwa vichwa vyepesi
 
“Enyi mlioamini! Kukiadhiniwa kwa ajili ya Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kumtaja Mwenyezi Mungu na acheni biashara. Kufanya hivi ni bora kwenu. Ikiwa mnajua (hivi basi fanyeni). Na itakapokwisha Sala, tawanyikeni katika ardhi mtafute fadhila za Mwenyezi Mungu, na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi, (ili msipate kufanya mabaya), ili mpate kufaulu.” (Qur’an 62:9-10)
Qur'an 62:11
Na wanapoiona biashara au pumbao(burudani) wanayakimbilia hayo na wakakuacha umesimama,sema yaliyoko kwa mwenyezi mungu ni Bora kuliko pumbao na biashara.na mwenyezi mungu ni mbora wa kutoa riziki
Hukutaka kuweka hii Aya ni aidha kwa kuwa hujui au kusudi,siku ya ijumaa ilikua siku ya mnada(kusanyiko/jamaa,yaani Kama sabasaba,biashara na burudani nyingi,muda wa swala ukifika watu hawajali wanapenda kwenye biashara na mapumbazo/burudani,Aya Wala hazisemi ni siku maalum ya kuabudu,ndiyo maana nakuambia ujifunze kwanza uislam ikiwa una hamu ya kuujadili,unadhani sikujua utatoa Aya hiyo!!
 
Siku ya ijumaa Kwa Wakurdi unajua ni siku gani hasa mbali na kuwa ilikuwa siku ya Gulio/mnada?
 
Back
Top Bottom