mbona wenzio huko juu washakiri kua yesu ndio mungu. au wewe muumini wamchongo? mwabudu yesu bhana mwana wa bikira Maria..Hakuna aliyesema Yesu ni Mungu hapa, maandiko yapo wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona wenzio huko juu washakiri kua yesu ndio mungu. au wewe muumini wamchongo? mwabudu yesu bhana mwana wa bikira Maria..Hakuna aliyesema Yesu ni Mungu hapa, maandiko yapo wazi
hahahahaha sasaivi hao masela nondo wanawaita matowashi. mwisho wasiku wanaeneza ushogatu kwakuwalawiti watoto. huko makanisaniBinaadam fundi seremala,msela nondo asiyetaka kuoa
Kama kweli kuna ufufuko wa wafu na waliofufuka wanaweza kuongea wakaelewana basi nakuomba ukikutana na JPM muulize maoni yake kuhusu hiki ulichosema.Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama msimamo. Msimamo ndio huleta uwajibikaji
Hajir Hakuwa Hawara , bali mke kamili wa Ibrahim ambaye Sarai limpa Ibrahim Mumewe ili awe mkewe.Hata kama tunawaona kama Watoto wa Kambo, au watoto wa hawara lakini wanamazuri yao mengi tu.
🙄🙄🙄🙄😎😎😎😎😎mbona wenzio huko juu washakiri kua yesu ndio mungu. au wewe muumini wamchongo? mwabudu yesu bhana mwana wa bikira Maria..
mbona unawasaliti wenzio mkuu mwabudu bwana yesu. huyo ndie mungu.🙄🙄🙄🙄😎😎😎😎😎
Aabudiwe aliyetundikwa msalabani kwa kukosa nguvu za kujitetea?
Hiki ni kioja kumuabudu kiumbe
wakati aliye muuba yupo.
Mmi Namuabudu Mungu wa Bw.Yesu
Dogo hamna noma kawaida tuAhsante kwa taarifa...
Nooo way allah ndo Mungu wa mudy. Msilazimishe mambo bana.Mimi Mungu wangu ni Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, Mungu wa Yakobo, Ambaye ndiye mungu wa Yesu.
na Muhammad.
Hajir Hakuwa Hawara , bali mke kamili wa Ibrahim ambaye Sarai limpa Ibrahim Mumewe ili awe mkewe.
Naye Ismail na Uzao wake wamebarikiwa wote.
Biblia kitabu cha Mwanzo MLANGO 16
Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.
2 Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, Bwana amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
3 Sarai mkewe Abramu akamtwaa Hajiri Mmisri mjakazi wake, baada ya kukaa Abramu katika nchi ya Kanaani miaka kumi, akampa Abramu mumewe, awe mkewe.
4 Basi akamwingilia Hajiri, naye akapata mimba. Naye alipoona ya kwamba amepata mimba, bibi yake alikuwa duni machoni pake.
5 Sarai akamwambia Abramu, Ubaya ulionipata na uwe juu yako; nimekupa mjakazi wangu kifuani mwako, naye alipoona kwamba amepata mimba, mimi nimekuwa duni machoni pake. Bwana na ahukumu kati ya mimi na wewe.
6 Naye Abramu akamwambia Sarai, Tazama, mjakazi wako yu mkononi mwako, mtendee lililo jema machoni pako. Sarai akamtesa, naye akakimbia kutoka mbele yake.
7 Malaika wa Bwana akamwona kwenye chemchemi ya maji katika jangwa, chemchemi iliyoko katika njia ya kuendea Shuri.
8 Akamwambia, Hajiri, wewe mjakazi wa Sarai, unatoka wapi, nawe unakwenda wapi? Akanena, Nakimbia mimi kutoka mbele ya bibi yangu Sarai.
9 Malaika wa Bwana akamwambia, Rudi kwa bibi yako, ukanyenyekee chini ya mikono yake.
10 Malaika wa Bwana akamwambia, Hakika nitauzidisha uzao wako, wala hautahesabika kwa jinsi utakavyokuwa mwingi.
11 Malaika wa Bwana akamwambia, Tazama! Wewe una mimba, utazaa mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Ishmaeli, maana Bwana amesikia kilio cha mateso yako.
Kama kweli kuna ufufuko wa wafu na waliofufuka wanaweza kuongea wakaelewana basi nakuomba ukikutana na JPM muulize maoni yake kuhusu hiki ulichosema.
mbona wenzio huko juu washakiri kua yesu ndio mungu. au wewe muumini wamchongo? mwabudu yesu bhana mwana wa bikira Maria..
kahio yesu sio mungu?Kwa hiyo Wewe waislam wengine wakisema uislam ni ugaidi nawe utasema hivyohivyo?
Tunaongozwa na vitabu sio maneno ya watu kukiri au kukataa. Sawa Mzee
Tatizo hujui halafu unajifanya unajua...kwanza kwa muktadha wa uislam hata kula na usingizi ni ibada,wewe hiyo ijumaa ni siku ya kuabudu kwa waislam umetoa wapi!?..ilhali kila siku unasikia adhana asubuhi,mchana, alasiri,jioni na usiku kwamba waislam wanaitana Ibadan!?..Kama una hamu ya kuuongelea uislam (Jambo ambako umeonesha hivi karibuni) basi nakushauri ungejifunza kwanza uislam
dini yamchongo hii wanna mwabudu binadamu mwenzao
Ikiwa wewe unaona ni mungu tufauti ...kama nilivyosema haya ni mambo ya kiimani halazimishwi mtu, ukitaka kuchambua kukinzana kwa aya zilizopo kati ya vitabu vyenu vya sasa na Quran ni kweli utakuta tofauti nyingi na ndo maana sisi hatufuati hizo modified copies. Mi sikulazimishi na wala wewe usinilazimishe. Turudi kwenye mambo ya Qatar ndo mada ya leo.
wenzio wengi wanajua hivyo. wewetu ndiohujuiTatizo la waislam wengi ni single phase yaani mnafikiria Kwa njia moja, hapo ndipo Wakristo wanapowapiga Bao.
Aliyekuambia Yesu ni Mungu ni Nani?
sasa mbona mnasema yesu ameondoka nazambi zenu msalabani yeye Kama Nani abebe mizambi ya watu?Hilo sio swali.
Unauliza majibu Kama mtoto