Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
wenzio wengi wanajua hivyo. wewetu ndiohujui
Wanajua Yesu sio Mungu.
Ila ninyi ndio hamuwaelewi.
Wakristo wako very smart hasa kwenye ishu za Dini kuliko waislam waliowengi. Ndio maana Wakristo hawaendeshwi na mihemko.
Kinachowaharibia ninyi waislam ni Uelewa mdogo WA waislam wengi KUHUSU maandiko matakatifu.
Ngoja nikupe Aya hii alafu unifafanulie,
Soma;
Kutoka 7:1
BWANA akamwambia Musa, Angalia, nimekufanya wewe kuwa kama Mungu kwa Farao; na huyo ndugu yako Haruni atakuwa nabii wako.
Embu eleza Kwa ufahamu wako unaelewaje Aya hiyo?