Niliandika uzi jana nikisema kinacho fanyika nchini Qatar ni ku promote ushoga in an indirect way.
Nikasema there is no bad publicity.
Nikasema kwamba mambo mengine ili yasiendelee kuwepo hayafai kabisa kuzungumzwa zungumziwa.
Katika nchi zenye maadili ya kiislamu ni mwiko hata kuyazungumzia mambo ya ushoga hadharani KWA sababu WANAJUA kuyazungumzia mambo hayo ni kuyapromote.
Kama hautaki kitu kisiwepo kwenye jamii yako BASI hakikisha hata kuzungumzwa hakizungumzwi kabisa.
KWA mfano Saudi Arabia hawataki kabisa Ukristo. So wameweka sheria yao dhidi ya ukristo.
Ni kosa la jinai kwa msaudia kuwa Mkristo. Adhabu yake ni kifo.
Ni marufuku kabisa kuzungumza kuhusu ukristo ndani ya Saudia.
Ni kosa la jinai kuhubiri ukristo ndani ya Saudia. Ukibainika adhabu yake ni kuchinjwa.
Kama wewe ni mgeni na ni Mkristo fanya ukristo wako chumbani kwako ukitoka nje kausha.
Wanataka kujenga jamii ya watu ambao hawaamini kabisa katika uwepo wa kitu kinacho itwa ukristo.
Kwanini wanafanya hivyo? Kwa sababu WANAJUA kuzungumza zungumza kuhusu ukristo kunaweza kufanya baadhi ya watu wawe curious kutaka kujua ukristo ni nini na mwisho wa siku kujikuta wamekuwa wakristo.
Mkristo mmoja anaweza kuambukiza mamilioni ya wasaudia kuwa wakristo jambo ambalo Saudia hawalitaki kwenye nchi yao. Wanataka kuwa na nchi yenye dini moja tu.
Vivyo hivyo KWA habari za ushoga..habari hizo hazipaswi kuzungumziwa kabisa.
Tunapaswa kujenga jamii ya watu ambao hawaamini kama ushoga ni jambo linalo weza kufanywa na binadamu mwenye akili timamu.
Mwiko huu umevunjwa Qatar. Waarabu wameingia mkenge. Wana promote agenda ya Marekani kutaka ushoga uzungumziwe. Nguvu wanayo tumia Qatar kupinga ushoga inafanya ushoga uzungumziwe na kutajwa zaidi middle east.
KWA wamerakani hii inaweza kuwa lango la kuuingiza ushoga middle east. Wameanza kwa kupandikiza wazo lao kwwnza then taratibu wataanza kutumia mbinu zao kuingia mazima.
Uislamu ndio dini pekee duniani miongoni mwa dini kuu tatu za ki ibrahimia ( wayahudi, wakristu, waislamu) ambayo bado ina misimamo thabiti dhidi ya ushoga.
Wamarekani wanaanza kubomoa huo msimamo taratibu.
Putin kashtukia huo mchezo. Jana katangaza decree mpya kwamba ni marufuku hata kuutaja ushoga iwe ni kwenye filamu, muziki au mahali popote pale hadharani.
This is what i was actually talking about
View attachment 2427272