Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Yes this is what I am talking about
 
Hahahaa hebu acheni kutunga story hyo biblia kuna kitu Gani Cha maana kilichoandikwa kikufanye ww msomaji ubadili dini ufuate kilichomo humo hebu nitajie mstari mmoja niusome ambao huyo dada wa kutunga aliusoma akaamini ukristo
 
Attachments

  • VID-20221126-WA0045.mp4
    1.8 MB
Hata punyeto inahamasishwa Sana humu jf kupitia nyuzi za watu.
Kuna watu walikuwa hawajui maana ya nyeto bt kila wanapoingia humu wanakumbana na nyuzi za punyeto,then wanakuwa curious nayo then they finally put it into practice.
Faida ya puchu nikubwa kuliko hasala. Yaani mzani haujalingana kwa sehemu kubwa sana hasahasa kwetu sisi wanaume tunaokaa mbali na familia zetu

Mustake kuanza ajenda za kupinga punyeto. Tutaandamana. Sisi ni chama kubwa zaidi ya cdm na hatuogopi virungu kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaa hebu acheni kutunga story hyo biblia kuna kitu Gani Cha maana kilichoandikwa kikufanye ww msomaji ubadili dini ufuate kilichomo humo hebu nitajie mstari mmoja niusome ambao huyo dada wa kutunga aliusoma akaamini ukristo
Biblia sio Quran kitabu cha kigaidi , 50% ya Quran inafundisha chuki dhidi ya jamii zisizo waislam ila 90% ya Biblia inafundisha hekima , upendo na kuwa muumin wa kwel bila ushawish wa mwanadam mwenzio ( yaan uwe muumin kutoka moyon sio kisa kuogopa kukatwa shingo km Irab walivyomuua binti kama vile Mungu hana mamlaka ya kuwahukumu wenye dhambi )
 
Watu wanakatazwa kuiona nuru lazima wabaki gizani.YESU ni Bwana kila goti litapigwa.
 
Hahahaa hebu acheni kutunga story hyo biblia kuna kitu Gani Cha maana kilichoandikwa kikufanye ww msomaji ubadili dini ufuate kilichomo humo hebu nitajie mstari mmoja niusome ambao huyo dada wa kutunga aliusoma akaamini ukristo
Yohana 3:16
 
Mimi ni mkristo lakini ulichoandika hapa inaonesha unatatizo la Akili.
 
Ni kama jf tunavyoliongelea sana, kuhangaika tu kulitaka hilo kombe la dunia tayari walikua wamekaribisha propaganda za western.

Sehemu yenye mchanganyiko wa tamaduni ni lazima wa kuenguka wataenguka na wakujoin nanyi pia wapo.

Watakapotoa takwimu za walioslim wasisahau takwimu za waliojiengua/kurubuniwa na kuhama nchi na utamaduni wao.

Wawe kama korea kaskazini tu, hakuna utamaduni kuingia wala utamaduni wao hautoki. Hata hatujui wanaishije zaidi ya kusikia western wanavyowaongelea, la sivyo umeliwa.
 
Nilo Nilisoma hii kitabu miaka ya 2004,nilikipenda Sana AISEH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…