Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Sentensi ya Zakir Naik kila anapoenda ni moja tu.

If Jesus is God, show me where he said
"I am God worship me".

Ndo kashikilia hapo hapo kila kukicha.
Nawakumbusha tu Zikir Naik ni Sharifu wa kiislamu.
Mwisho ataishia kuwa mganga wa kienyeji na mpiga ramli.
 
Watakao silimu ni wale wasiyejua Yesu ni nani ktk maisha yao,walioonja uzuri wa Yesu ktk maisha yao huwa hawayumbishwi na upepo wowote wa imani nyingine...na ndio maana huwezi ona Wakristo wakipiga au kuua kwa lengo la kumtetea Kristo,maana Yesu yeye ni Mungu mwenye nguvu,anajitetea na kujipigania mwenyewe...Petro alijaribu kumpigania wakati anakamatwa akamzuia.
 

Kwa hiyo World Cup imegeuka kusilimishana? Hivi nyie akili zenu mnageuka vichaa huku mkiwa mnatembea, maana ya ukichaa unageuza yale yanayotakiwa kufanywa ww unafanya mengine kabisa.. Imagine people need to enjoy fooball, ww unakuja silimisha watu, ni ukichaa huo, mkiitwa shithole ni sawa kabisa.
 
Wadhungu wamepatikana walahi!
Kwenye kila kona wamebanwa mpaka waandishi wa habari kutoka Israel [emoji1134]
Duh kaaazi kweli kweli walahi
 
Na hili je
 
Dah huyu jamaa hawezi mpita Apostle Mwamposa ndio anayeoongoza kwa kuwaleta waslam kwa Yesu kwa sasa
 
Hakuna Mkristo kamili anayeweza kusilimu na kuwa muislamu.

Huyo Allah mungu wenu anathibitisha hilo, hao ni wakristo jina tu.

Surah Al-Baqarat Ayah 120

وَلَن تَرۡضَىٰ عَنكَ ٱلۡيَهُودُ وَلَا ٱلنَّصَٰرَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمۡۗ قُلۡ إِنَّ هُدَى ٱللَّهِ هُوَ ٱلۡهُدَىٰۗ وَلَئِنِ ٱتَّبَعۡتَ أَهۡوَآءَهُم بَعۡدَ ٱلَّذِي جَآءَكَ مِنَ ٱلۡعِلۡمِ مَا لَكَ مِنَ ٱللَّهِ مِن وَلِيّٖ وَلَا نَصِيرٍ
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

Allah anajua Wayahudi na Wakristo wamesha ijua KWELI.
na hawawezi kuiacha kamwe.

Yaani Mkristo aanze vipi kulisujudia Jiwe Jeusi la Makka.

Aanze vipi kumwomba mungu anayesikia lugha moja tu Kiarabu.

Aanze vipi kufanya ibada za kulizunguka Al-Qaaba huku kavaa kitambaa tu chepesi cheupe bila nguo za ndani.

Aanze vipi kuingia dini ya Majini ambao ni maadui wa Ukristo.

Allah analitambua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…