Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Hakika, watu watakuwa radhi kusikiliza hoja za Dr Zakir Naik kuliko kuangalia mpira. Na huko ndiko kufaulu kwa dini. Huyo ni Bingwa mwenye hoja matata. Usithubutu kuangalia Television yake nyumbani kwako. Nyote mtasilimu.
Madhara ya kunywa maji ya kisima yameharibu watz wengi akili
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Nani wa kuingia kwenye hilo balaa alilolileta Muhamad.
 
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik
tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

Hawalazimishwi. Mbona wakristu na hufanya hivyo.
 
Kuna vitu Qatar walipaswa na wanapaswa kuviepuka sana wakati huu wa mashindano ya world Cup, la sivyo vinaweza kuleta machafuko.

Mpira ni mchezo wa kijamii (secular), sio busara sana kuuoanisha na itikadi za kidini. Kama Qatar iliyajua hayo kabla, na wakaona ni sawa kwa mashindano hayo kufanyika nchini mwao (kwa kuwa hayaingilii imani ya nchi yao), basi waheshimu hilo.

Kadri Qatar wanavyotaka kuyafremu hayo mashindano kidini (kiislamu) ndivyo ambavyo wanachochea makundi mengine ya kidini (kikristo, kihindu, kibudha) na kipagani kuonyesha hisia zao.

Usishangae kuona mashabiki kuingia na misalaba uwanjani na kushangilia nayo.
Kabisa
 
Mhubiri Kavaa Kama Wagalatia Wenyewe
Angevaa Kanzu Na Makobazi Ningesema Angeweza Kuwabadili Wagalatia Kuwa Islam
 
Kusilimu kwa Seedorf kuwa Mwislamu kulipongezwa sana katika ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu. Na Issam Toutate Gwiji wa zamani wa soka wa Uholanzi na klabu ya AC Milan Clarence Seedorf ametangaza kuwa amesilimu. Je hao ndio wakristo wa mchongo?
Uzuri kasilimu madhehebu ya shia. Sasa hivi mpango mzima nikwenda kuhiji Najaf siyo Mecca. Na kumtukuza sana Imam kuliko mtume. Shia Islam is conquering
 
Attachments

  • Screenshot_20221120-175024.png
    Screenshot_20221120-175024.png
    392 KB · Views: 6
Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik

Zakir Naik
tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano nchini humo. Mamilioni ya Wakristo wahofiwa kusilimu.

View attachment 2422130

Wakati Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linaanza saa moja jioni ya leo nchini Qatar, mhubiri maarufu wa Kiislamu mwenye Zakir Naik, tayari amewasili Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa michuano hiyo nchini humo.

"Mhubiri Sheikh Zakir Naik yuko Qatar wakati wa Kombe la Dunia na atatoa mihadhara mingi ya kidini wakati wote wa Kombe la Dunia" ndani na nje ya viwanja.

View attachment 2422132
.................

Wakati huo huo Qatar Yaonyesha Hadithi za Mtume Muhammad (s.sa.w) Katika Maeneo ya Kombe la Dunia la FIFA 2022

View attachment 2422135

Wenyeji wa Kombe la Dunia la 2022 Qatar wamepamba kukaribisha ujio wa mashabiki wa soka. Mmoja wao anaonyesha dondoo za hadithi kutoka kwa Mtume Muhammad SAWW kwenye kona tofauti za barabara katika nchi ya Ghuba.

Kulingana na vyombo vya habari kadhaa vya humu nchini, michoro inayoonyeshwa inalenga kuutambulisha Uislamu kwa mashabiki wa soka ambao watakuja kutazama mashindano ya soka yanayofanyika kila baada ya miaka minne.

View attachment 2422136

Nukuu za hadith za Mtume (s.a.w.w.) ina maandishi ya kiarabyu na tafsiri ya Kiingereza. Michoro hiyo ina hadithi kuhusu huruma, hisani, na motisha ambazo zinawahimiza watu daima kufanya mema.

Baadhi ya hadithi ni pamoja na, “Kila jema ni sadaka”, “Asiyekuwa na huruma kwa wengine, hatatendewa huruma”, na “Jilindeni na Moto wa Jahannam”.

Qatar inaonekana kuchukua fursa ya Kombe la Dunia la 2022 kama msukumo wa kushiriki utamaduni na maadili yake na wageni wanaokuja kutoka kote ulimwenguni.

View attachment 2422138

Kombe la Dunia la FIFA 2022 nchini Qatar limebakiwa na masaa machache tu, limeratibiwa kuanza Novemba 20 hadi Desemba 18.

Toleo la mwaka huu litakuwa ni mashindano ya kwanza kuandaliwa Mashariki ya Kati, ya kwanza katika nchi yenye Waislamu wengi, na ya kwanza kufanyika mwishoni mwa mwaka wa kalenda, mwezi Novemba na Desemba.
Hahahaha dini inayoshirikiana na majini ambayo ni mapepo ambayo ni mashetani, na maana yake dini ya shetani
 
Naona wavaa kobasi mnatafuta namna muonekane mko juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waache wasilimu kwan dini tulizaliwa nazo si mambo ya kuyakuta tu
 
Mbona huku kawe kwa Mwamposa anazidi kuzoa waumini kutoka upande wa huyo gwiji. Mwambie aje apambane na huku.
Mwambie aje na huku kimkute kilichomkuta doctor sule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wabongo sio watu wa mchezo mchezo na hzo dini zenu zinazosema mtanyandua madem 72[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom