Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

Mbona yule jamaa aliomba Dua msalabani .kwani alikuwa hajui Kama angekataliwa Dua yake?
Lakini hakuacha kuomba.
Kwa hyo yatupasa kumuomba Mungu hata Kama hatajibu muda huo.na uenda atakuja KUJIBU baadae.au uenda hicho unachoomba hakina Heri kwako.hivyo Mungu anakuepusha nacho
Ndio kitu ninachosema mm. Uombe usiombe mambo kama ni kutokea yatatokea tu.. so why waste time kuomba kama hutojibiwa? Na unajua kwann hujibiwi? Kwasababu unaemuomba hayupo...[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaokoteza sana waumini. Yaani hadi watu wanne kujiunga uislam huko Qatar mbongo kapata taarifa. Kwani kipi cha ajabu
 
Mbona yule jamaa aliomba Dua msalabani .kwani alikuwa hajui Kama angekataliwa Dua yake?
Lakini hakuacha kuomba.
Kwa hyo yatupasa kumuomba Mungu hata Kama hatajibu muda huo.na uenda atakuja KUJIBU baadae.au uenda hicho unachoomba hakina Heri kwako.hivyo Mungu anakuepusha nacho
Alichagua mwenyew yamkute hayo yote...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hio ni kutojiamini. Wanajihami mapema... hahah...
Hawatak kupoteza mtu hata mmoja, wanahofia watu wakisikiliza neno la mungu, mungu wa upendo, mungu wa huruma, mungu anaesamehe kutoka kwenye biblia watavutiwa na kuacha uislamu[emoji23]
Ila hapo ulipoandika mungu kama unataka kumaanisha Heaven and Earth creater, Jehovah, inabidi uanze na elufi M siyo m, means Mungu siyo mungu!.
 
PONGEZI; QATAR IMEUPA HESHIMA UISLAM NA UTAMADUNI WA KIARABU

Anaandika, Robert Heriel
Shahidi.

Historia Jana imeandikwa. Tukio la kihistoria katika ukanda wa mashariki ya Kati sio tu limeipa heshima Nchi ya Qatar bali limeupa uislam utukufu na heshima kubwa Duniani. Waislam na jamii zote za kiarabu siku ya Jana wameionyesha dunia kuwa inawezekana dunia ya maadili na ustaraabu/uungwana Kwa kuunganisha tamaduni nzuri zenye manufaa zinazolinda utu wa binadamu.

Uislam hauna mvuto katika mawaidha au mahubiri katika majukwaa ya kutangazia dini au katika propaganda. Lakini Jambo la hakika ambalo uislam unaweza kujivunia na ambalo ndio mvuto wa uislam ni Desturi, sheria na matendo yao.

Qatar wameonyesha mfano Bora Wakuigwa sio tuu na Waislam wengine ulimwenguni bali pia hata na siye tusio Waislam.

Michezo ya mwezi mmoja haiwezi kubadilisha na kuvunja sheria na utamaduni wetu, hivyo ndivyo Qatar walivyofanya.

Ingawaje wapo wenye chuki na Waislam kwa kuwashutumu mambo mabaya kama ugaidi, roho mbaya, ukatili n.k. Lakini hayo mambo hatuyaoni katika ulimwengu halisi wa Kiislam.

Uislam umejengwa katika kufuata Muongozo Mkuu ambao ni Quran, ingawaje niliandika kuwa Quran ilikopi na kuiba maandiko ya kiyahudi Jambo ambalo ni kweli kabisa lakini ninachowasifu Waislam ni uwezo na msimamo wao wa kufuata yale yaliyoandikwa humo kwenye kitabu Chao bila kujali yaliibiwa au hayakuibiwa.

Na wanaweza kutuambia Sisi Wakristo au Mayahudi kuwa ni kweli Sisi Waislam tuliwaibia maandiko yenu kwa sehemu, lakini tunayafuata Kwa 100% hayo maandiko, vipi nyie (Mayahudi na Wakristo) ambao ndio wamiliki halali wa hayo maandiko mnafuata yaliyoandikwa humo yaani kwenye Torati, Zaburi na Injili?

Swali hilo ndilo Waislam wangeweza kujivunia nalo. Ni Sawa na Wazungu au wachina kuiba Teknolojia ya mataifa mengine na kuibadilisha kidogo sio kosa, huo ni ujanja, na Akili. Hivyo ndivyo waislam walivyofanya Kwa upande wa Dini.

Niwapongeze Qatar na Waislam wote Duniani Kwa kuonyesha msimamo thabiti. Na hicho ndicho kinahubiri na kuwasilimisha watu zaidi kuliko kupigapiga kelele kwenye maredio au Television kama Sisi Wakristo.

Matendo ni muhimu zaidi kuliko kelele kelele.
Kataa ushoga hadharani hasa viongozi wa kitaifa.
Kataa mapombe kunywewa hadharani,
Kataa watu kukaa nusu uchi au kutokuvaa Kwa adabu.
Na Sheria Kali zimewekwa.

Wakristo na mataifa mengine tunayomengi ya kujifunza kutoka kwa Waislam. Hata kama tunawaona kama Watoto wa Kambo, au watoto wa hawara lakini wanamazuri yao mengi tu.

Kuhusu tabia mbaya za mtu binafsi ambazo zinachafua Uislam hiyo ni kawaida kuwepo lakini haimaanishi Uislam ni mbaya au dini mbaya.

Hata Shetani alitoka mbinguni kwa Mungu Baba, hivyo haimaanishi mbinguni kuna wadhambi. Isipokuwa zinatokea Error.

Hongereni Sana Watoto wa Mama Mdogo, hongereni Waislam.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Dar es salaam
 
Vipi siku mkikuta zote ni chai ya kuchukua mali ghafi ya Mwafrika wa Chunya?
 
Japokuwa umeisifia qatar kwa walichokifanya na kupeleka kongole kwa waislamu umefanya uungwana sana mkuu.

Ila naomba nichangie katika point ya kwamba "UISLAMU KUNA MAANDIKO UMEIBA KUTOKA KATIKA TAURATI,ZABURI NA INJILI"...

Hili tulishahadili Mkuu.

Uislam ni Dini ya kiarabu, na kitabu Chao ni Quran, Mungu wao ni Allah, Waandishi wake ni waarabu.

Uyahudi ni Dini ya Wayahudi na waisrael.

Hawa wanavitabu vingi, kitabu chao kikuu ni Torati, ingawaje vipo vitabu vidogo kama Zaburi, waandishi wake ni mayahudi wenyewe. Mungu wao ni Yehova.

Ukristo ni Dini ya kimataifa lakini imejengwa zaidi na Wazungu, ingawaje wao wameiba maandiko ya Kiyahudi na wahusika wa kiyahudi Kama walivyofanya Waarabu. Vitabu vyao wame- combine Torati, Zaburi na Injili.
Mungu wao Yehova mwenye ushirika na Yesu Kristo.

Huo ndio muhtasari wa dini hizo tatu zenye Asili ya Abrahamu.

Ukristo na uislam hauwezi kukataa kuwa haujafanya copy na ku-paste baadhi ya visa vya Mayahudi.
Labda ushabiki uendekezwe Ila huo ndio ukweli
 
Back
Top Bottom