Bingwa wa kutokutoa/kugonga kitufe cha like humu JF huyu hapa ...

Bingwa wa kutokutoa/kugonga kitufe cha like humu JF huyu hapa ...

Mie pia sitoagi like coz muda mwingi natumia simu,natoa like ya moyoni tu
 
Like yangu utaipata tu utake usitake, haiwezeni nikunyime Like huku wanifanya nijisikie faraja kua na people kama nyie.. Umekua kiburi siku izi haujibu PM kwa wakati eeh?
Teh teh.Sina kiburi bana.Nitumie Pm uone kama sijakujibu sasa hivi
 
Back
Top Bottom