Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
Hahahaha kumbe umekua dogo big up mwayego.
Hahahaha kumbe umekua dogo big up mwayego.
Mwalimu ticha alikuwekea na veri gudi au alisahau?
Hahahaha kumbe umekua dogo big up mwayego.
Hahahaha kumbe umekua dogo big up mwayego.
Huyu kijana nampango wa kumfanya kama Elton John...
cc: Evelyn Salt
Ila huyu anatakiwa kufanyiwa usajili C.C.B ila anahangaikaaa
Angalia pale kwenye droo ya sebuleni utakuta kuna mia chukua,hamsini utanununa icecrem afu hamsini nyingine utanunua ubuyu sawa eeeehhhh?Aliweka Excellent !! Alafu ela ya ubuyu na kishata ujaniachia kaka
Bora kama umeliona hilo my mdogo mi huwa nakutakia mema tu.Misingi yako inanijenga kaka!
Ila huyu anatakiwa kufanyiwa usajili C.C.B ila anahangaikaaa
Are u talking to me??Huyu kijana nampango wa kumfanya kama Elton John...
cc: Evelyn Salt
Angalia pale kwenye droo ya sebuleni utakuta kuna mia chukua,hamsini utanununa icecrem afu hamsini nyingine utanunua ubuyu sawa eeeehhhh?
Mtanipa cheo gani? Nikijiunga na C.C.B
Are u talking to me??
Eti mdogo wangu hiyo C.C.B NDO NINI ETI UJUE MI SIIJUI.
Haya mtoto mzuri tuition njema eeeehhhhh.asantee kaka nimeiona, na wewe nitakubakizia ubuyu, nitanunua ule wa pilipili ndio hua mtamu alafu unanukia vizuri
Bora kama umeliona hilo my mdogo mi huwa nakutakia mema tu.
Haya mtoto mzuri tuition njema eeeehhhhh.
Anhaaaaaa kumbe ndo maanake eeehh?Em nenda tuition haraka mwayego unaona faida ya kuwa na mdogo anayesoma tuition?Asante my mdogo wahi tuition.Chit - Chat Bachelor ndio maanake kaka
Mtanipa cheo gani? Nikijiunga na C.C.B