Bingwa wa kutokutoa/kugonga kitufe cha like humu JF huyu hapa ...

mh! Nilikua naenda tuition kwa mwalimu
Haaaahaaa noahism my mdogo unanifurahishaga wewe yaani we acha tu.Haya mwayego tuition njema na usiache kumsalimia mwalimu ticha wako.
 
Last edited by a moderator:
sawa kaka Blue G na mie usisahau kuniletea kuniletea kuniletea nini nini vile viatu vya mataili.

Usikonde mdogo wangu uatavipata tu ila mpaka uje na veri gudi ya mwalimu ticha wako kwenye daftari lako.
 
Tonykp alikua ana mtaka, kwaiyo nikampa option ya kuchagua mmoja wetu, nikaona anazungusha mambo, ikabidi nipige window chini na Suprise nae akaja juu juu anataka kupanda kichwani nae nikamuambia mwisho, najua C.C.B watanipa pesa nijiunge nao, pia na penyewe sitaki
Mbona umemwambia rich woman achague kati yako na na huyo mwengine?au ulikuwa unamaanisha nini my mdogo?
 
Last edited by a moderator:
Tonykp alikua ana mtaka, kwaiyo nikampa option ya kuchagua mmoja wetu, nikaona anazungusha mambo, ikabidi nipige window chini na Suprise nae akaja juu juu anataka kupanda kichwani nae nikamuambia mwisho, najua C.C.B watanipa pesa nijiunge nao, pia na penyewe sitaki
Hahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom