Shauri yenu wadogo zangu!!tuachane nae, tupige mishe zetu hadi pesa zitutafute tulipo!
Kuanzia sasa natangaza Rasmi wewe kuto kutambulika na mimi!
wala hujakosea
Good boy siendeshwi na mapenzi, bali na fight niziendeshe pesa
mbona maneno mengi imekuuma kubwagwa
Mie, ndio nime mmbwaga, kwasababu yako, na wewe kama unaona vipi unaweza kwenda pasipojulikana
Kuachwa kuachwa unaufahamu huu winnow??Mie, ndio nime mmbwaga, kwasababu yako, na wewe kama unaona vipi unaweza kwenda pasipojulikana
Kuachwa kuachwa unaufahamu huu wimbo??Mie, ndio nime mmbwaga, kwasababu yako, na wewe kama unaona vipi unaweza kwenda pasipojulikana
kama umepata kipya tangaza, usijizungurushe, kitu gani bhana
Kuachwa kuachwa unaufahamu huu wimbo??
Sio umeniachia sema nimeshinda competition! !!
Acha zako wewe, mie ndio nime mu acha
Siwezi fanya ushindani kwa ajili ya mwanamke.
Ngoja aje tumuulize! !!
Nani asiye kujua manoah
Ndio unanijua, si ndio maana siwataki wote Suprise na Rich woman pia na C.C.B sipataki
wacha weee