Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Nimesha mpigia simu anakuja jamvini
Kwani sa hivi unaenda wapi?Nitakuja badae kuwaangalia wasio toaga like.
Kwani sa hivi unaenda wapi?
Kweli jazba ni kipimo cha utuuzima!!!!!ndio ivyo!
Kweli jazba ni kipimo cha utuuzima!!!!!
Dogo ushaanza mambo yako shauri yako ujue mi simo ngoja suprise akukute.usije kuniita kukupatanisha naye.
Dogo ushaanza mambo yako shauri yako ujue mi simo ngoja suprise akukute.usije kuniita kukupatanisha naye.
Marahaba mdogo wangu,safari ya wapi mdogo wangu naomba usinipotezee swali langu.
Mbona umemwambia rich woman achague kati yako na na huyo mwengine?au ulikuwa unamaanisha nini my mdogo?Hao wote kaka siwataki namaanisha Suprise na Rich woman siwatambui kaka
Mbona umemwambia rich woman achague kati yako na na huyo mwengine?au ulikuwa unamaanisha nini my mdogo?
Usikonde mdogo wangu uatavipata tu ila mpaka uje na veri gudi ya mwalimu ticha wako kwenye daftari lako.
tuachane nae, tupige mishe zetu hadi pesa zitutafute tulipo!
Mwalimu ticha alikuwekea na veri gudi au alisahau?Ile Test ya juzi nilipata 89% badae ukitoka kazini nitakuonesha
Bahati yake... :coffee: