Bingwa wa kutokutoa/kugonga kitufe cha like humu JF huyu hapa ...

Hahahaha kumbe umekua dogo big up mwayego.
 
Aliweka Excellent !! Alafu ela ya ubuyu na kishata ujaniachia kaka
Angalia pale kwenye droo ya sebuleni utakuta kuna mia chukua,hamsini utanununa icecrem afu hamsini nyingine utanunua ubuyu sawa eeeehhhh?
 
asantee kaka nimeiona, na wewe nitakubakizia ubuyu, nitanunua ule wa pilipili ndio hua mtamu alafu unanukia vizuri

Haya mtoto mzuri tuition njema eeeehhhhh.
 
Chit - Chat Bachelor ndio maanake kaka
Anhaaaaaa kumbe ndo maanake eeehh?Em nenda tuition haraka mwayego unaona faida ya kuwa na mdogo anayesoma tuition?Asante my mdogo wahi tuition.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…