Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Habari wakuu?
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni.
Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:-
- Iwe ni rahisi kutumia
- Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili
- Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote
- 'Back ground' iwe inabadilishika, iendane na mtumiaji
- Isiwe na mavitu mengi ya kuchanganya
- Pia, uwe tayari kutoa mafunzo kwa watumiaji
Kwa wale watundu wa mambo ya 'software' kazi kwenu; dau langu ni milioni mbili, iko mfuko wa shati.
Tupige kazi.
Tupige kazi.