Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
2D mkuu; wengi wana maneno, kazi kidogoYa video za 2D au 3D? Ila kwa ninavowajua developers wa bongo wakiweza niite mbwa nimekaa palee!!😅 Sio kama hawajui ila uvivu na wanahitaji usimamizi wa hali ya juu.
Sasa, chuo wanaenda kusoma nini?Kuna watu mnachekesha kweli, Hiyo project ya Adobe yenyewe imecost millions of dollars wewe unazungumzia developer wa bongo akutengenezee?? Hizo ni software kubwa mno sio Tanzania tu hata Afrika bado hatuna hao wataalam
2D ni nyepesi zaidi, Nadhani wanaweza! Sema cha kukushauri kwa budget ya milioni 2 ni ndogo, ukienda kwenye firm za IT watakwambia hata 50mils, ila nisikukatishe tamaa assemble team ya madogo walioko mtaani, jobless, njaa kali uwape ofa hio, wahudumie, wasimamie I believe watatoa kitu.2D mkuu; wengi wana maneno, kazi kidogo
Haina shida, huyo bingwa ndio anatakiwa aje aonyeshe kipaji chake, kuhusu nyongeza inaweza kuzungumzika kwa kazi nzuri yenye 'zero defect'sijasomea hiyo kitu kabisa, lakini ukitaka tu website yenye database ndani yake inagonga huko. na hapa ndio napata mashaka ya budget yako.
Hapana IT sio space science kwamba washindwe mimi sio developer, sijasoma IT ila najua inawezekana. Kimachofanya watu wengine washindwe kutengeneza ni kwamba watamuuzia nani ila si kwamba haiwezekaniKuna watu mnachekesha kweli, Hiyo project ya Adobe yenyewe imecost millions of dollars wewe unazungumzia developer wa bongo akutengenezee?? Hizo ni software kubwa mno sio Tanzania tu hata Afrika bado hatuna hao wataalam
Watu wanalalamika ajira hakuna; hii sasa imekuja, wenye ujuzi wajitokeze.2D ni nyepesi zaidi, Nadhani wanaweza! Sema cha kukushauri kwa budget ya milioni 2 ni ndogo, ukienda kwenye firm za IT watakwambia hata 50mils, ila nisikukatishe tamaa assemble team ya madogo walioko mtaani, jobless, njaa kali uwape ofa hio, wahudumie, wasimamie I believe watatoa kitu.
Fursa imewaangukia sasa, inawezekana kupitia kazi hii, ikawa mwanzo wa kuendelea kupata masoko zaidiHapana IT sio space science kwamba washindwe mimi sio developer, sijasoma IT ila najua inawezekana. Kimachofanya watu wengine washindwe kutengeneza ni kwamba watamuuzia nani ila si kwamba haiwezekani
Watu wanalalamika ajira hakuna; hii sasa imekuja, wenye ujuzi wajitokeze.
Mpaka sasa hivi umefanya project ipi, inayoendana na kazi tajwa?Project kubwa sana hiyo mkuu Kama una milion 150 Nije tufanye kazi
ha ha haWanashangaa shangaaa😅
Inawezekana elimu ikawa kwenye cheti tu; ila kiuhalisia hakuna ujuzi alioupata huko masomoni.Ila Developers wabongo kuna mahala wanakwama.......
Field kibao naliona Gap lao ( kama huku Kwenye Survey & Engineering ) wana nafasi kubwa sana.....
Toeni hata Copy za Autocad addins basi wakuu, kama Autocad ni gharama ( hapa mtaeleweka)
Addins kibao tunanua kwa bei kubwa ila najua wabongo mnaweza tengeneza.
Kama hampati mawazo mnitafute mie niwape basi.
Sio developers wa bongo ila ni pesa ndogo sana kwa developer yoyote dunia nzima.Ya video za 2D au 3D? Hii system ni kubwa mnoo millioni 2 ni budget ndogo sana, na kwa ninavowajua developers wa bongo wakiweza niite mbwa nimekaa palee!!😅 Sio kama hawajui ila uvivu na wanahitaji usimamizi wa hali ya juu.
Leta portfolio hapa tukupe kazi, me mwenyewe nina project zangu kibao nimeishia kuliwa hela za prototypes😅Project kubwa sana hiyo mkuu Kama una milion 150 Nije tufanye kazi