Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tunatoa angalizo tu watu wawe makini. Huyu dada kaungua koo.Mbona kama habari imekaa ki umbea umbea
Hii imekuwa starehe inayosambaa kwa kasi maeneo ya mijini.Akome
Taste yake ionje tu na uacheHii imekuwa starehe inayosambaa kwa kasi maeneo ya mijini.
Walopomuuliza kuwa ni mara yake ya kwanza akase huwa anapiga lakini weekend hii alivuta sana. Huenda ule moshi ulikikuna vya kuiga hapa mjini
Ukianza kuonja ndio hivyo tena hutaachaTaste yake ionje tu na uache
mm siwez kuvuta naonaga watu wanavuta watu wanakunywa pombe mm hapanaWalopomuuliza kuwa ni mara yake ya kwanza akase huwa anapiga lakini weekend hii alivuta sana. Huenda ule moshi uliki
Uwa ja joto kali.
Shusha na ganja at once bora uacheUkianza kuonja ndio hivyo tena hutaacha
Nilipoonja Supu ya Pweza ambayo nilikuwa nadharau watu kula vitu visivyoliwa ndio nikanasa mazima.
Nilidhan blow jobHahahaaaa😂😂
Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.
Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.
Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga Shisha akiwa kwenye Bithday Party iliyofanyika kwenye moja ya Hotel Kigamboni Jana.
Mabinti acheni hizo bwana. Hata kama una stress mtakuja kujiua kwa kuhadaika na mambo ya duniani.
Bora ukatae mkuu hizi starehe zimepunguzia watu uhai wa kuishi.mm siwez kuvuta naonaga watu wanavuta watu wanakunywa pombe mm hapana
Hahah.....ni Shisha kaka.Nilidhan blow job
Tuelimishe kaka kwenye shisha wanavuta nini hasa ni moshi tu? Na inapendwa kwa sababu gani?Shisha haina shida yoyote tatizo hizo za changanyikeni wanawekewa bangi na Kvant, nina mtungi wa shisha na ninazo vile vidogo vya kuvuta mtu mmoja, nachanganya mwenyewe.
Vinapenda kuiga sana mambo hasa vile vilivyozaliwa na Single MazasVidada vya DASLAM huwa vinanishangaza 😀