Binti ababuka Koo baada ya Kupiga Shisha kwenye Birthday Party

Binti ababuka Koo baada ya Kupiga Shisha kwenye Birthday Party

Hahahaaaa😂😂

Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.

Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.

Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga Shisha akiwa kwenye Bithday Party iliyofanyika kwenye moja ya Hotel Kigamboni Jana.

Mabinti acheni hizo bwana. Hata kama una stress mtakuja kujiua kwa kuhadaika na mambo ya duniani.
Anadanganya sio shisha, alitafuna koni yenye UTI sugu mixer GC. almaaruf Gono.
 
Tb sio virus ni bakteria na ukisema mazingira hapo unamaanisha kuenea na sio kusababishwa
Namfahamu vizuri huyo bacteria ila ukiwa mtumiaji inalemaza kinga za mwili, na inapelekea kupata tb kirahisi au nipo wrong??
 
Namfahamu vizuri huyo bacteria ila ukiwa mtumiaji inalemaza kinga za mwili, na inapelekea kupata tb kirahisi au nipo wrong??
Upo wrong,
Shisha haina mahusiano na kushuka kinga za mwili wala kupata TB labda kama mtu ana share pipe na mwenye maambukizi ya TB ambaye hajaanza tiba
 
Upo wrong,
Shisha haina mahusiano na kushuka kinga za mwili wala kupata TB labda kama mtu ana share pipe na mwenye maambukizi ya TB ambaye hajaanza tiba
Mbona unatetea sana wewe unatumia nini??
Afu mbona chatgpt ishasema pale juu
 
Back
Top Bottom