Binti ababuka Koo baada ya Kupiga Shisha kwenye Birthday Party

Hahahaaaa😂😂

Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.

Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.

Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga Shisha akiwa kwenye Bithday Party iliyofanyika kwenye moja ya Hotel Kigamboni Jana.

Mabinti acheni hizo bwana. Hata kama una stress mtakuja kujiua kwa kuhadaika na mambo ya duniani.
Hana akili huyo shisha ina madhara kinomaa yaani,
Inaweza sababisha kifua kikuu yaani huyo akasimliee mbele hukoo
 
Hahahaaaa😂😂

Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.

Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.

Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga Shisha akiwa kwenye Bithday Party iliyofanyika kwenye moja ya Hotel Kigamboni Jana.

Mabinti acheni hizo bwana. Hata kama una stress mtakuja kujiua kwa kuhadaika na mambo ya duniani.
Kwani ukivuta shisha unavuta moto hadi ababuke ?
 
Hahahaaaa😂😂

Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.

Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.

Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga Shisha akiwa kwenye Bithday Party iliyofanyika kwenye moja ya Hotel Kigamboni Jana.

Mabinti acheni hizo bwana. Hata kama una stress mtakuja kujiua kwa kuhadaika na mambo ya duniani.
nilidhani kaungua koo baada ya kulamba lolo😂
 
TB inasababishwa na bakteria waitwao Mycobacterium Tuberculosis,
Je, Shisha ina hao bakteria?
Pia moshi ule
Kulingana na chatgpt
Shisha, au hookah, ni kifaa kinachotumiwa kuvuta moshi wa tumbaku au mchanganyiko wa tumbaku na ladha mbalimbali. Ingawa watu wengi wanaweza kufurahia shisha kama njia ya burudani, kuna madhara kadhaa yanayohusishwa nayo:

1. Madhara ya kiafya: Kuvuta shisha kunaweza kusababisha matatizo ya kiafya kama vile magonjwa ya mapafu, saratani ya mapafu, na magonjwa ya moyo. Moshi wa shisha unajumuisha kemikali nyingi hatari, ikiwa ni pamoja na nikotini.

2. Kulevya: Tumbaku katika shisha ina nikotini, ambayo ni kiambato kinachosababisha kulevya. Hii inaweza kufanya iwe vigumu kwa mtu kuacha kuvuta shisha.

3. Madhara kwa watu wengine: Moshi wa shisha unaweza kuathiri watu wanaokuzunguka, hata kama hawavuti. Hii ni kutokana na moshi wa pili (secondhand smoke) ambao unaweza kusababisha matatizo ya kiafya kwa watu hao.

4. Madhara ya kisaikolojia: Watu wengine wanaweza kuanza kutegemea shisha kama njia ya kupunguza msongo wa mawazo, ambayo inaweza kupelekea matatizo zaidi ya kiafya na kisaikolojia.

Ni muhimu kuwa na ufahamu wa madhara haya na kufanya maamuzi sahihi kuhusu matumizi ya shisha.
 
Hayo madhara yapo kwenye Sigara na Pombe pia, je ulishawahi kuwakataza watumiaji wao kama ambavyo unawafatilia wa Shisha?
 
Back
Top Bottom