phzhenry
Member
- Jul 15, 2021
- 39
- 31
angeungua hta na mapua si unakuta wanatolea moshi kwenye mapuaHahahaaaa😂😂
Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.
Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.
Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga Shisha akiwa kwenye Bithday Party iliyofanyika kwenye moja ya Hotel Kigamboni Jana.
Mabinti acheni hizo bwana. Hata kama una stress mtakuja kujiua kwa kuhadaika na mambo ya duniani.