Binti ababuka Koo baada ya Kupiga Shisha kwenye Birthday Party

Samahani kwa kusema kwamba,
shisha ina madhara kiafya kuliko sigara.Mtu akivuta shisha kwa saa moja atapata madhara mara 100-200 zaidi ya anayevuta sigara.Shisha ina sumu zilizopo katika tumbaku /sigara kwa kiwango kikubwa maradufu.

Hatari
 
Hahahaaaa😂😂

Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.

Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.

Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga Shisha akiwa kwenye Bithday Party iliyofanyika kwenye moja ya Hotel Kigamboni Jana.

Mabinti acheni hizo bwana. Hata kama una stress mtakuja kujiua kwa kuhadaika na mambo ya duniani.
Mkuu shisha za sasa hivi zina bangi na ugoroo balaaaa. Ukitoka hapo unakuwa na duniayakoraisiwewemakamuwwewe
 
Samahani kwa kusema kwamba,
shisha ina madhara kiafya kuliko sigara.Mtu akivuta shisha kwa saa moja atapata madhara mara 100-200 zaidi ya anayevuta sigara.Shisha ina sumu zilizopo katika tumbaku /sigara kwa kiwango kikubwa maradufu.

Kuna mtu alikuwa ni mbishi kinoma hapa
 
M hataa pombe za bday sinywi kuna siku tymeletewa kmr konyagi imefunguliwa tukaimimina

Mmmh naksikia lazaa tofauti nikiuliza naona jama wanacheka wanauliza hata wewe umeshtuka nkawambia mnyoowo mwema nkalamba safari

Baadae nikohomee jamaa analuja sema wametuchanganyia na gongo aiseee sinahamu
 
Hahahaaaa😂😂

Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.

Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.

Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga Shisha akiwa kwenye Bithday Party iliyofanyika kwenye moja ya Hotel Kigamboni Jana.

Mabinti acheni hizo bwana. Hata kama una stress mtakuja kujiua kwa kuhadaika na mambo ya duniani.
Alikuwa anakunywa Kvant nini
 
M hataa pombe za bday sinywi kuna siku tymeletewa kmr konyagi imefunguliwa tukaimimina

Mmmh naksikia lazaa tofauti nikiuliza naona jama wanacheka wanauliza hata wewe umeshtuka nkawambia mnyoowo mwema nkalamba safari

Baadae nikohomee jamaa analuja sema wametuchanganyia na gongo aiseee sinahamu
Hahaa
 
Back
Top Bottom