Binti ababuka Koo baada ya Kupiga Shisha kwenye Birthday Party

angeungua hta na mapua si unakuta wanatolea moshi kwenye mapua
 
What did she expects after opening a gate to hell this is reparation which she deserve
 
Samahani kwa kusema kwamba,
shisha ina madhara kiafya kuliko sigara.Mtu akivuta shisha kwa saa moja atapata madhara mara 100-200 zaidi ya anayevuta sigara.Shisha ina sumu zilizopo katika tumbaku /sigara kwa kiwango kikubwa maradufu.

 

Attachments

  • Screenshot_20240906-192729~2.jpg
    90.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…