Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #81
HatariSamahani kwa kusema kwamba,
shisha ina madhara kiafya kuliko sigara.Mtu akivuta shisha kwa saa moja atapata madhara mara 100-200 zaidi ya anayevuta sigara.Shisha ina sumu zilizopo katika tumbaku /sigara kwa kiwango kikubwa maradufu.
Mkuu shisha za sasa hivi zina bangi na ugoroo balaaaa. Ukitoka hapo unakuwa na duniayakoraisiwewemakamuwweweHahahaaaa😂😂
Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.
Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.
Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga Shisha akiwa kwenye Bithday Party iliyofanyika kwenye moja ya Hotel Kigamboni Jana.
Mabinti acheni hizo bwana. Hata kama una stress mtakuja kujiua kwa kuhadaika na mambo ya duniani.
Kuna mtu alikuwa ni mbishi kinoma hapaSamahani kwa kusema kwamba,
shisha ina madhara kiafya kuliko sigara.Mtu akivuta shisha kwa saa moja atapata madhara mara 100-200 zaidi ya anayevuta sigara.Shisha ina sumu zilizopo katika tumbaku /sigara kwa kiwango kikubwa maradufu.
Kumbee wee dear, unatumiaa shishaa?Shisha haina shida yoyote tatizo hizo za changanyikeni wanawekewa bangi na Kvant, nina mtungi wa shisha na ninazo vile vidogo vya kuvuta mtu mmoja, nachanganya mwenyewe.
Alikuwa anakunywa Kvant niniHahahaaaa😂😂
Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.
Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri kunakoambatana na maumivu makali kooni.
Baada ya kuhojiwa na marafiki zake amekiri kuwa alipiga Shisha akiwa kwenye Bithday Party iliyofanyika kwenye moja ya Hotel Kigamboni Jana.
Mabinti acheni hizo bwana. Hata kama una stress mtakuja kujiua kwa kuhadaika na mambo ya duniani.
Mkemia😎Shisha haina shida yoyote tatizo hizo za changanyikeni wanawekewa bangi na Kvant, nina mtungi wa shisha na ninazo vile vidogo vya kuvuta mtu mmoja, nachanganya mwenyewe.
Ukute alichanganyaAlikuwa anakunywa Kvant nini
HahaaM hataa pombe za bday sinywi kuna siku tymeletewa kmr konyagi imefunguliwa tukaimimina
Mmmh naksikia lazaa tofauti nikiuliza naona jama wanacheka wanauliza hata wewe umeshtuka nkawambia mnyoowo mwema nkalamba safari
Baadae nikohomee jamaa analuja sema wametuchanganyia na gongo aiseee sinahamu