Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
wilaya mpya hii bila shaka. Ikifika hatua hiyo wamuache tu. walishafanya wajibu waoMkazi wa Magoweko wilayani Goweko mkoani Morogoro, Secilia Ching’unyau (22) amenusurika kifo akijaribu kujiua kwa kunywa sumu ya kuhifadhia mahindi
🙄🙄🙄💝💝💝💝Mapenzi hayaitaji degree mkielewana tu imeisha, halafu pita Kati yao wakat mapenz yamewaka motto 🥺🥺🥺utakuwakia Sasa ona Mtoto alitaka kusepa AkhelaMkazi wa Magoweko wilayani Goweko mkoani Morogoro, Secilia Ching’unyau (22) amenusurika kifo akijaribu kujiua kwa kunywa sumu ya kuhifadhia mahindi aliyoichanganya na pombe aina ya Vodka-Cuca kwa madai ya wazazi kutaka kuvunja mahusiano kati yake na mpenzi wake...
Hapa mi mwenyewe nilikuwa napiga mahesabu ya garama nilizotumia kwa kusomesha huyu binti yangu,Jumla ni 24m.Ndo umemsomesha weee pigana weee kupata ada yake mwisho wa siku malipo yake hayo kisa sahani moja la kiepe daah
Hapa mi mwenyewe nilikuwa napiga mahesabu ya garama nilizotumia kwa kusomesha huyu binti yangu,Jumla ni 24m.
Kuna kidume kimetuma washenga hapa nawambia watoe mahari m2,wanasema hawana wana 500000/=.
Dah yani nimewasomeshea bure.wakafaidi wao.
Pqmoja na kunywa sumu? [emoji849]Duh ana bahati kweli....huyu angekuwa anaishi Dar wangemwokota akiwa katapakaa kinyesi mwili mzima huku malinda yote yamemtoka.
👍Akipona huyo mshikaji anamuacha.
Hako kanaonekana hiyo ndio first love yake, bado kako innocent, loyal, kaaminifu.
Ngoja kaachwe kwanza akili ikakae sawa. Anaachwa na huyo kamaa, anapata mwingine anaachwa, anaachwa na kuachwa hadi akili ikimkaa sawa atajutia sana uamuzi aliouchukua huko nyuma.