Binti ajaribu kujiua baada ya Wazazi wake kutaka kumwachanisha na mpenzi wake

Binti ajaribu kujiua baada ya Wazazi wake kutaka kumwachanisha na mpenzi wake

Hapa mi mwenyewe nilikuwa napiga mahesabu ya garama nilizotumia kwa kusomesha huyu binti yangu,Jumla ni 24m.
Kuna kidume kimetuma washenga hapa nawambia watoe mahari m2,wanasema hawana wana 500000/=.

Dah yani nimewasomeshea bure.wakafaidi wao.
Endelea kuongeza gharama zingine za kumtunza, hata ukipewa milioni 10 haitatosha kukulipa umuhimu wake kwako mtakapo hitajiana Kama familia ya shida na raha.
 
mbona 2m ni fare sana bro tena iko sahihi kabisa
 
Kuna binti mmoja alijaribu tukiwa wadogo na akafanikiwa hatimaye tukamlia ubwabwa, mimi nilishushia na fanta orange na maji ndogo, wala hatumkumbuki tena. "Dunia uwanja wa fujo".
 
Na harudi mtaani, Jamhuri itakuwa nae sambamba mpaka jasho limtoke kwenye lile kaburi la walio hai🤣
 
Endelea kuongeza gharama zingine za kumtunza, hata ukipewa milioni 10 haitatosha kukulipa umuhimu wake kwako mtakapo hitajiana Kama familia ya shida na raha.
Una hekima sana.
Ngoja niwape tu,maana nikiwanyimawisho Wa siku wataoana kinyemela nkakosa ya bara na pwani.
 
Akipona huyo mshikaji anamuacha.

Hako kanaonekana hiyo ndio first love yake, bado kako innocent, loyal, kaaminifu.

Ngoja kaachwe kwanza akili ikakae sawa. Anaachwa na huyo kamaa, anapata mwingine anaachwa, anaachwa na kuachwa hadi akili ikimkaa sawa atajutia sana uamuzi aliouchukua huko nyuma.
Au ngoja aachwe singo maza, aanze kuita wanaume wa watu mbwa.
 
Duuuuh kweli mapenzi upofu. Poleeeh yake sana huyo binti.
 
hiyo pesa ni fare sana 500k ni ndogo hata kijijini wanatoa ngombe wa 5 thamani ya zaidi ya milioni 3 na zaidi na mtu hajasoma kaishia 4m 4 sasa kama uko mjini kwa hiyo beiii ni chini sana
Nimetoka kuongea na binti sio mda mrefu Analia anasema ye ataongezea,
Eti anampenda sana Huyo jamaa yake.
 
Kuna watu hawana shida na uhai.

Kama ingekuwa inawezekana kupunguziana uhai basi ningemuomba anipunguzie 70 years.

Watu wanatafuta njia za jinsi ya kkuokoa maisha yao yeye anakunywa sumu kwa jambo la kijinga na kipuuzi kabisa?
Yaani mapenzi?
Wasted.
 
Nimetoka kuongea na binti sio mda mrefu Analia anasema ye ataongezea,
Eti anampenda sana Huyo jamaa yake.
Chukua hiyo laki tano na ukae na binti yako umwambie humuuzi bali unampa nafasi ya kwenda kuanzisha familia yake, na nyinyi ni familia moja mtaendelea kujaliana kwa shida na raha na hata bwana harusi mwambie hivyo, hayo mambo ya kizamani ya kuuza binti yalipelekea watoto wa kike kusahau kwao na kuondoa upendo kwenye moyo wake kwamba yeye niwakuuzwa hizo gharama ulizotumia kumtunza hesabu Kama shukurani ya Mungu kukupa binti na kuweza kumtunza.
 
dhaaaaaa sikufichiiii mimi siomuhusika ila naskia hasira wewe kazia hata M kisha waambieee nyingine mtalipa kidogo

Nimetoka kuongea na binti sio mda mrefu Analia anasema ye ataongezea,
Eti anampenda sana Huyo jamaa yake.
 
Hapa mi mwenyewe nilikuwa napiga mahesabu ya garama nilizotumia kwa kusomesha huyu binti yangu,Jumla ni 24m.
Kuna kidume kimetuma washenga hapa nawambia watoe mahari m2,wanasema hawana wana 500000/=.

Dah yani nimewasomeshea bure.wakafaidi wao.
Mkuu ukisomesha Mtoto usipige hesabu za kurudishiwa tena shukuru MUNGU huyo bintiyo amepata wa kumuoa hiyo ni heshima maana mwingine angekula gharama plus kuwavua nguo kwa kuwa mama huruma;leo amezaa na huyu, kesho anazaa na yule.
 
Back
Top Bottom