Endelea kuongeza gharama zingine za kumtunza, hata ukipewa milioni 10 haitatosha kukulipa umuhimu wake kwako mtakapo hitajiana Kama familia ya shida na raha.Hapa mi mwenyewe nilikuwa napiga mahesabu ya garama nilizotumia kwa kusomesha huyu binti yangu,Jumla ni 24m.
Kuna kidume kimetuma washenga hapa nawambia watoe mahari m2,wanasema hawana wana 500000/=.
Dah yani nimewasomeshea bure.wakafaidi wao.
mbona 2m ni fare sana bro tena iko sahihi kabisaHapa mi mwenyewe nilikuwa napiga mahesabu ya garama nilizotumia kwa kusomesha huyu binti yangu,Jumla ni 24m.
Kuna kidume kimetuma washenga hapa nawambia watoe mahari m2,wanasema hawana wana 500000/=.
Dah yani nimewasomeshea bure.wakafaidi wao.
Wanasema wana kilo tano tu.mbona 2m ni fare sana bro tena iko sahihi kabisa
Una hekima sana.Endelea kuongeza gharama zingine za kumtunza, hata ukipewa milioni 10 haitatosha kukulipa umuhimu wake kwako mtakapo hitajiana Kama familia ya shida na raha.
Nadhani jamaa alikuwa anajibu Uzi tofauti na huu.Pqmoja na kunywa sumu? [emoji849]
Au ngoja aachwe singo maza, aanze kuita wanaume wa watu mbwa.Akipona huyo mshikaji anamuacha.
Hako kanaonekana hiyo ndio first love yake, bado kako innocent, loyal, kaaminifu.
Ngoja kaachwe kwanza akili ikakae sawa. Anaachwa na huyo kamaa, anapata mwingine anaachwa, anaachwa na kuachwa hadi akili ikimkaa sawa atajutia sana uamuzi aliouchukua huko nyuma.
Wanasema wana kilo tano tu.
Nimetoka kuongea na binti sio mda mrefu Analia anasema ye ataongezea,hiyo pesa ni fare sana 500k ni ndogo hata kijijini wanatoa ngombe wa 5 thamani ya zaidi ya milioni 3 na zaidi na mtu hajasoma kaishia 4m 4 sasa kama uko mjini kwa hiyo beiii ni chini sana

Chukua hiyo laki tano na ukae na binti yako umwambie humuuzi bali unampa nafasi ya kwenda kuanzisha familia yake, na nyinyi ni familia moja mtaendelea kujaliana kwa shida na raha na hata bwana harusi mwambie hivyo, hayo mambo ya kizamani ya kuuza binti yalipelekea watoto wa kike kusahau kwao na kuondoa upendo kwenye moyo wake kwamba yeye niwakuuzwa hizo gharama ulizotumia kumtunza hesabu Kama shukurani ya Mungu kukupa binti na kuweza kumtunza.Nimetoka kuongea na binti sio mda mrefu Analia anasema ye ataongezea,
Eti anampenda sana Huyo jamaa yake.
Nimetoka kuongea na binti sio mda mrefu Analia anasema ye ataongezea,
Eti anampenda sana Huyo jamaa yake.
Mkuu ukisomesha Mtoto usipige hesabu za kurudishiwa tena shukuru MUNGU huyo bintiyo amepata wa kumuoa hiyo ni heshima maana mwingine angekula gharama plus kuwavua nguo kwa kuwa mama huruma;leo amezaa na huyu, kesho anazaa na yule.Hapa mi mwenyewe nilikuwa napiga mahesabu ya garama nilizotumia kwa kusomesha huyu binti yangu,Jumla ni 24m.
Kuna kidume kimetuma washenga hapa nawambia watoe mahari m2,wanasema hawana wana 500000/=.
Dah yani nimewasomeshea bure.wakafaidi wao.
Mmmhhh! Ungemfanyaje?Duh ana bahati kweli....huyu angekuwa anaishi Dar wangemwokota akiwa katapakaa kinyesi mwili mzima huku malinda yote yamemtoka.