Binti ajaribu kujiua baada ya Wazazi wake kutaka kumwachanisha na mpenzi wake

Kuna binti mmoja alijaribu tukiwa wadogo na akafanikiwa hatimaye tukamlia ubwabwa, mimi nilishushia na fanta orange na maji ndogo, wala hatumkumbuki tena. "Dunia uwanja wa fujo".
Kabisa aisee.!!!,Mijanamke mijinga km hiyo unaiacha iende
 
Moja kati ya kitu wana sayansi wameshindwa kujua ni ukweli kuhusu
Utamu anao upata binti wa kike anapo shiriki ngono na mwanaume..... Ukweli dudu limemchanganya marehemu mnusurika
 
Moja kati ya kitu wana sayansi wameshindwa kujua ni ukweli kuhusu
Utamu anao upata binti wa kike anapo shiriki ngono na mwanaume..... Ukweli dudu limemchanganya marehemu mnusurika
Ukweli ni kuwa mwanamke huwa anasikia utamu tangu anapoingiziwa mzigo mpaka unapochomolewa, wanasayansi wa hapa ujiji wameshagundua wanaandika kitabu kitatoka punde
 
Nimetoka kuongea na binti sio mda mrefu Analia anasema ye ataongezea,
Eti anampenda sana Huyo jamaa yake.
Mkuu kuna mawili sema watoto wakishapenda ni hatari sana,katika makubalianao yenu hapo naona kama jamaa hajazama sana kwa binti yako au binti ameonesha mapenzi yaliyopitiliza ndo maana kagomea mahali ya 500,000/=

Kwa mtazamo wangu nadhani kama jamaa angekuwa na nia thabiti na mapenzi ya dhati angejivuta japo hata kwa milioni moja,kwa uwiano wa 2M na 500K naona kabisa jamaa hana nia ya dhati,lakini hakuna namna maana binti kesha penda.

Nakumbuka wakati naenda kumtolea mahari mke wangu,malengo ambayo Mimi nilikuwa nimejiwekea nilikuwa ni Milioni moja na ikizidi sana ni 1.2M,tulipofika ukweni nikiwa na rafiki Yangu ,wakwe zangu walianza na mahali ya 2.5M ,tulibembeleza na mwisho wakakatalia 1.6M na kwa vile sikuwa na namna na binti nilimpenda ikanibidi nikubali,sikuwa na namna.

Sasa kama jamaa kakomalia 500K napata wasi wasi sana, lakini hakuna namna maana binti kesha zama,waache wkajenge familia.maana mahari si kipimo thabiti cha mapenzi

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Ukweli ni kuwa mwanamke huwa anasikia utamu tangu anapoingiziwa mzigo mpaka unapochomolewa, wanasayansi wa hapa ujiji wameshagundua wanaandika kitabu kitatoka punde
Hahaha
Binafsi nikifululiza mlolongo wa matukio yanayo husiana na mapenzi bac binafsi huwa nasema wanansayansi wafanye utafit ktk ili
Kuna mdada aliwahi kumjibu mama yake amabe alikuwa ana muhusia binti yake aachane na mpenzi wake ..ba. Yule binti aka mwambia mama yake ' unataka niachane nae unajua ananipa nini ? Anacho nipa nyie mmaweza nipa " im short kumtolea mzazi wako kauli kama hii sawa kqbisa na kumtusi mzazi
 
Siku hizi makamanda wa polisi wa mikoa wanabadilishwa kama vitafunwa.

Huyu Muslim juzi tu alikuwa Mkuu wa usalama barabarani baada ya Mohammed Mpinga leo RC Moro!

Au Mimi ndiye sifuatilii hizi habari kwa karibu.
 
Mmmhhh!!!!, Hatari sana.
 
Jamaa mwenyewe wamesoma na binti chuo.

Binti kabahatisha kibarua jamaa bado anazunguka na bahasha ya khaki ya A4 mjini kutafuta job,na wazazi wake uwezo Wa kawaida tu kama mie.
 
Mi ntalipa 1M tu itayozidi ntapiga sound tu. Uzuri baba mkwe ana mzigo sio sakara.
 
Hiyo wilaya ya Goweko mbona ndio naisikia kwako?
 
dhaaaaaa sikufichiiii mimi siomuhusika ila naskia hasira wewe kazia hata M kisha waambieee nyingine mtalipa kidogo
Mkuu ntafanya hivyo niwakopeshe wanilipe baadae kilichobaki.
Nahisi nikikomaa sana wataniachia msala nikapoteza binti yangu Wa pekee.
 
Wanawake kama hawa hawafahi kuwa nao kwenye familia ,siku ukimuuzi anaweza akafanya maafa kwenye familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…