cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
mie niliwaza hivyo pia, ila kuna comment sijui n page ya ngap, kasema kna mtu alikua anampigia yaan mdau wa hapo airport huenda siku hiyo hakuwepo hapo uwanjan.Soma Tena habari
Labda sijaelewa vizuri, ila kwa scenario hiyo huyo jamaa alimpenda sana manstura, maan alipoona cm yake haipokelew alikua na uwezo wa kutoroka haraka hapo uwanjan, vile bas tyuuh mapenzi ya kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]