mie niliwaza hivyo pia, ila kuna comment sijui n page ya ngap, kasema kna mtu alikua anampigia yaan mdau wa hapo airport huenda siku hiyo hakuwepo hapo uwanjan.Soma Tena habari
Je alipoona haipokelew angeamua kutoroka uwanjani hapo haraka?Hapo atakataa vipi?View attachment 2052381
Yaani atoroke aache MZIGO wake wa mamilion?mie niliwaza hivyo pia, ila kuna comment sijui n page ya ngap, kasema kna mtu alikua anampigia yaan mdau wa hapo airport huenda siku hiyo hakuwepo hapo uwanjan.
Labda sijaelewa vizuri, ila kwa scenario hiyo huyo jamaa alimpenda sana manstura, maan alipoona cm yake haipokelew alikua na uwezo wa kutoroka haraka hapo uwanjan, vile bas tyuuh mapenzi ya kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anatoroka vipi wakati hajui kinachoendelea ndani na huyo mwanamke Ana MZIGO wake?Je alipoona haipokelew angeamua kutoroka uwanjani hapo haraka?
Angekamatwa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi tyuuu yalimfanya ivo.
Yule wa jd kiboko asee...afu akawa anajifanya mpoole[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee shos sasa Rotimi yule hana huo mda wa kuzungka na ngada, movie na music unamlipa.
Wapopo wa ngada ni hawa hoe hoe wapiga dili, nimekumbka wapopo wa jay dee na giggy, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha....mwanaume mbele ya hela mbususu si mali kitu[emoji1787][emoji1787]Anatoroka vipi wakati hajui kinachoendelea ndani na huyo mwanamke Ana MZIGO wake?
Wewe kichwa chako kinawaza mapenzi tu.mwenzio Ana waza MZIGO wake
Kumbuka kipenzi uilete hapa [emoji848]Nimekumbuka story flani ya mdada wa kitanzania hivyo hivyo na mpopo wake.
Ila yeye alikuwa anadanganywa kwa kufanyiwa checkups kila wakitaka kusafiri, kumbe katika checkups ndo wanamuweka madawa.
Huwa natamani sana nikumbuke hiyo story nilisoma wapi ili niisome tena, sikumbukagi kabisa.
Ni muda sana halafu sikumbuki vizuri huenda ilikuwa organ harvesting na sio madawa.Kumbuka kipenzi uilete hapa [emoji848]
Yap yap tumboni ni kidogo Kuna Ile mizigo mikubwa ka ya masogange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mawazo yangu dawa zunabebwa tumboni au kweny bags, kumbe hata parcel zinazoingia kwa pochi lol.
Mimi nataka utuandikie stori kama siku zile hiyo ya ngada hata usipoikumbuka poa tuNi muda sana halafu sikumbuki vizuri huenda ilikuwa organ harvesting na sio madawa.
I wish nikumbuke vizuri ila am sure ilikuwa Bongo
🤣🤣🤣🤣Mimi nataka utuandikie stori kama siku zile hiyo ya ngada hata usipoikumbuka poa tu
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kama ipi sasa
Walitaka wakugeuze punda miliaHatari sana hii kuamini watu hovyo Kuna kipindi huonyeshwa national geographic kuhusu Hawa wadada wanavodaganyika na kuishia kukamatwa na kuteseka huwa kina funzo zuri sana. Siku moja nilikuwa airport nikashangaa wamekuja wakaka wananiomba niwasaidie mzigo wao mdogo eti kwa uzito umezidi nikikumbuka matukio ya watu kubebeshwa madawa bila kujua nikashtuka sana
Nitaandika.... na nitaku tag.Diary of the bored housewife
She lay in her cozy lounge one lazy Sunday afternoon watching her phone ring wondering whether to answer it or not until the caller hung up. Only to redial again. It was Moosa her best friend. "Hey, are you sleeping?" Came the voice from the other end, "Come on, am out with the rest of the...www.jamiiforums.com
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sawa madameNitaandika.... na nitaku tag.
Nipe muda tu sipendagi kuandika za to be continued.
Kweli aisee kwa mfano unakuta unamtongoza mdada kwa mara ya kwanza anaingia kingi!!?Madada unawajia unawaskia. Ukiwa na pesa hata ndani ya week unaweza mpeleka dsda kokote. Wana roho ngumu sana.
Kama dada unakutana naye mtandaoni hakujui unamwita kwako anakuja peke yake, si roho ngumu hiyo.
Mbona hamueleweki jamani....tukiwazungusha pia mnachonga[emoji57][emoji57]Kweli aisee kwa mfano unakuta unamtongoza mdada kwa mara ya kwanza anaingia kingi!!?
hajui hata kama mashine yangu ni ndefu kama nyoka inaweza mtokea mdomoni!!??
yy anaingia tu jumla jumla ilhali hanijui!?
wadada wote hongereni kwa ujasili wa asili