Binti aliyeniacha 2020 kisa kupoteza kazi amerudi 2023. Nishaurini hapa!

Mpeleke kwa mparange km hajazoea ndio vizur endelea nae mpaka azoee na km kazoea ujue huyo sio levo yako achana naye
 
Ukiishaona tu nilishauriwa na mtumishi jua anakupiga..

Mimi naona wewe mpole, mkarimi, huna uhuni kwahiyo baada ya kuchoka kupuyanga ameona arudi kwako.

Sio guarantee kwamba atabaki endapo ukipata anguko lingine mkuu..

Move on na maisha yako, huyo mwenye ujauzito unaweza sema haumpendi Sana, ila akiondoka utajuta.

Forever is a word meant for memories not people..
 
Mimi nakuaga mtu wa visasi sana kwa wanawake walio nitelekeza kipindi hicho dawa Yao ni Moja tu tomb...hovyo hovyo mara Moja tu alafu mwambie endelea na maisha Yako!!
Manina sinaga huruma na mademu waganga njaa, watembelea frusa
 
Kimbia shetani huyo kaja na mbinu mpya
 
SUMU HAIONJWI KWA KUILAMBA

NCHA YA MKUKI HAIPIGWI KONZI

waswahili Wana maneno[emoji1787]
 
Thubutu ndugu yangu kumrudia huyo mwanamke.ikumbukwe alikuacha sababu huna kazi na sasa umepata ameona arudi, ndugu hapo znafatwa pesa wew hupendwi hata chembe
 
jichanganye ujute, mwanamke akishakuacha tena wakati unapitia magumu na alipaswa kuwa faraja yako huyo hakustahili hata kidogo. Kuna mambo sio ya kutumia moyo na hisia kufanya maamuzi, mpende ulienae na mpe heshima yake achana na huyo bwege aliekuacha.
 
Acha ubwege.... Kakurudia kwa sababu katendwa maana yake asingetendwa asingekurudia. Tafsiri ni kwamba, plan A imemkimbia wewe kwake ni plan B siku akioata tena plan A atakutosa. Eti umwache huyo mjamzito, kwa kosa gani? Kwenye mapenzi sometimes tumia akili sio hisia utaumia. Kama waona inakuuma sana na wewe piga piga halafu nawe mkimbie tu lakini si kuwa naye na ukamwacha wa sasa
 
Kuna dada aliniringia mwaka 2021 nikampotezea mwezi huu kanitafuta na namba mpya ila amezalishwa na jamaa kalala mbele me nimemzooom tu nikampotezea nikampa hongera za kumchora nikampotezea

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kurudiana sio dhambi Wala sio vibaya.Kama ungemfukuza ungeweza kumrudia TU.Kwani kosa moja haliachi mke.Lakini kwa kuwa yeye alikukimbia kwa kuwa uchumi ulikuwa mbovu usimrudie Tena.Kama kufanywa hata mwanamke ulale Nae uamke Nae akiamua kufanywa atafanywa TU Kama mbwa.
 
Fala wewe


Tunza mwanamke uliyempa ujauzito achana na hiyo kenge.Mbona akili ndogo sana inahitajika apo mkuu.
 
Kuna mambo hadi unajiuliza marakumi kumi ani... Mtu kakuacha kaenda kwa mwingine leo anarudi kisa kaachika kule bado unamuwaza! How come ani hadi akupe stress na alishaondoka. Dah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…