Binti Aolewa na wanaume wawili Mapacha!

Binti Aolewa na wanaume wawili Mapacha!

Probability ya kuwa mane ni ndogo kwa uasilia lakini kwa magonjwa ya cku hizi naona wote wanarisk ya kupata magonjwa ya zinaa na Hiv ikiwemo Mara watu zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana atakula kitu kila siku!! Mmoja anapumzika siku moja ya pili yuko mzigoni!!
Lazima ichakae
 
Kwa nini asiwamudu, kwani hujui kuwa wanawake wana nguvu sana kuliko sisi wanaume kwenye mambo hayo
Yaan hapo itabidi atoe mzigo kila siku maana kama leo analal kwa huyu kesho kwa yule!!!! Ukiwa na m1 unaqeza skeep. Hata siku 2 sasa una wawili ukiskeep tuu gapw kubwa
 
Dah mbona siwezi kushare mke kama hivi
 
Yaan hapo itabidi atoe mzigo kila siku maana kama leo analal kwa huyu kesho kwa yule!!!! Ukiwa na m1 unaqeza skeep. Hata siku 2 sasa una wawili ukiskeep tuu gapw kubwa
Mwanamke ana uwezo wa kulala na wanaume wawili kila siku na wote wakaridhika
 
Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake.
Sasa swali ni kuwa atawamudu wote kwa mpigo katika yale mambo yetu, au watapangiana zamu kama zile za mume mwenye mke zaidi ya mmoja?
View attachment 1013009View attachment 1013006View attachment 1013007View attachment 1013008
Kwanza hiyo kila mtoto atakae zaliwa hapo atakuwa na baba wawili?

kutoka: 22D Arnold st.
 
Back
Top Bottom