Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

=======
Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada.

Mshukiwa ametambuliwa kwa jina la Tracy Sibanda mwenye umri wa miaka 18, na inasemekana alitekeleza unyama huo siku ya Pasaka na kuzua taharuki ndani ya kanisa.

Haijaeleweka bado kijana huyo alitoka wapi na wazo hilo la kifedhuli
======
The Zimbabwe Republic Police (ZRP) is on the hunt for a teen who mischievously sprinkled viagra in a church water tank during a service.

The incident occurred over the weekend during the Easter celebrations.

The naughty teen suspected to be behind the mischief, 18-year-old Tracy Sibanda, was at the Church of International Disciples in Thorngrove, Bulawayo, over the weekend.

A wild idea came to her mind and she decided to follow through with it.

Tracey had bought enhancing pills which works by increasing blood flow to the penis, helping the user maintain an erection.

Some potential side effects of Viagra are headaches, runny or blocked nose, a nosebleed, light-headedness or dizziness.

Tracy then allegedly threw the aphrodisiac into the church water and it was drama in the building.

Multiple congregants were affected, and the similarities in their ordeal gave them an idea of the crime Tracy had committed.
 
wasaKj8I_400x400.jpg

Wanaume wa Tanzania watamtetea
 
Ikitokea Tanzania, chonde chonde, tarifa hizo zienee kwa haraka ili zifike kwa walengwa chapu! Pipa mbona kidogo?

Huyo binti aombe kuhifadhiwa bongo, anamanufaa sana kwa wanaume wa kizazi hiki cha chips mayai
 
Binti Asakwa na pilisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

=======
Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada.

Mshukiwa ametambuliwa kwa jina la Tracy Sibanda mwenye umri wa miaka 18, na inasemekana alitekeleza unyama huo siku ya Pasaka na kuzua taharuki ndani ya kanisa.

Haijaeleweka bado kijana huyo alitoka wapi na wazo hilo la kifedhuli
======
The Zimbabwe Republic Police (ZRP) is on the hunt for a teen who mischievously sprinkled viagra in a church water tank during a service.

The incident occurred over the weekend during the Easter celebrations.

The naughty teen suspected to be behind the mischief, 18-year-old Tracy Sibanda, was at the Church of International Disciples in Thorngrove, Bulawayo, over the weekend.

A wild idea came to her mind and she decided to follow through with it.

Tracey had bought enhancing pills which works by increasing blood flow to the penis, helping the user maintain an erection.

Some potential side effects of Viagra are headaches, runny or blocked nose, a nosebleed, light-headedness or dizziness.

Tracy then allegedly threw the aphrodisiac into the church water and it was drama in the building.

Multiple congregants were affected, and the similarities in their ordeal gave them an idea of the crime Tracy had committed.
Dah Kwahyo Kanisa Zima wakaanza Kuweweseka na Viagra🤣🤣🤣😅😅
Huyu Binti hakika ni kichaa Kabisa 😅😅🤣
 
Siioni shida hapo....
Huoni shida watu kanisa zima kurukiana Kutaka Kuharibu utaratibu wa kibinadamu na kuwa kama wanyama 🤣🤣😅

Umeeelewa aliposema..

"Multiple congregants were affected, and the similarities in their ordeal gave them an idea of the crime Tracy had committed."

Kaongea Kiutu uzima Ila tumeshaelewa 😅😅🤣
 
Back
Top Bottom